Sisi tulishamaliza uchaguzi kilichobaki ni utekelezaji WA sera tu, mtaangaika Sana hata jiji liwe chini yenu lazima muwe chini ya CCM maana naona mtaki kabisa kuongozwa na CCM inawabidi mkatafute nchi yenu ya kaskazini
Nyie tumewazoea mtu akisema ukweli mnamfukuza au mna...d..i alfu akishwakuwa nje ya system yenu ya wanafiki mnasema wasaliti. Mungu yupo na atazidi kuwepo
Ninachoitaji ni wabunge wa upinzani wawe 50% bunge, ili waweze kuisimamia serikali vzr. Ila kwa upande wa rais sina imani na EL kwa maandalizi haliyo yafanya ili awe rais napata tabu sana kuhusu kikatio changu cha urais
Next wiki naenda kujiunga na chama pale TEGETA makaoo makuu, acha tuonge, tufichue na tutee asilimali za taifa letu kwa walio gueza kuwa nchi hii ya watu wachache.
UZALENDO KWANZA AMINA
Nchi imeoza wakubwa, nchi ambayo kila mtu aliziki na anachopata hadi kitu kidogo ndo anakuachia haki yako na imesabushwa na kuwa na viongozi wafanyabiashara ambao wao kazi yao kubwa kuangalia faida inayongia kiharamu. Pole sana we lipia uje utupige bei kubwa ndio wanachotaka
We acha kuwa na mtazamo potofu, unazani wamarekani wanapenda nchi yeyote dunian kuwa juu yao kwa taarifa za kiusalama, KK ni moja ya nchi zinazohogopwa na kufiwa na marekani, hvyo wanajitaidi kwa namna yeyote ile kuinyong'onyesha serikali hiyo kwa kuichafua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.