ACT - Wazalendo kufanya mkutano mkubwa Mpanda

ACT - Wazalendo kufanya mkutano mkubwa Mpanda

Dkt Kilembwe

Senior Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
154
Reaction score
102
Chama cha ACT- Wazalendo kinatarajiwa kufanya mkutano mkubwa hapa Mpanda Mjini.

Viongozi wa ACT- Wazalendo wamepokelewa na maelfu ya wananchi wa Mpanda Mjini. Mkutano wa leo utahutubiwa na viongozi wa ACT- Wazalendo Taifa, ndugu Zitto Kabwe, kiongozi wa Chama na mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Ndugu Anna Mghwira.

Tutaweletea kinachoendelea katika uwanja huu wa Kashauriri hapa Mpanda Mjini.
 
ZZK, pesa mnapata wapi ya mikutano? Ulituahidi uwazi lakini siku hizi umekuwa kama cdm, vipi tena Zuberi?
 
Mbona Mwenyekiti hajatangaza mali zake? Kitila Mkumbo ana sh. ngapi benki? Uzalendo kwanza SACCOS au?
 
Chama cha ACT- Wazalendo kinatarajiwa kufanya mkutano mkubwa hapa Mpanda Mjini.

Viongozi wa ACT- Wazalendo wamepokelewa na maelfu ya wananchi wa Mpanda Mjini. Mkutano wa leo utahutubiwa na viongozi wa ACT- Wazalendo Taifa, ndugu Zitto Kabwe, kiongozi wa Chama na mwenyekiti wa ACT- Wazalendo Taifa, Ndugu Anna Mghwira.

Tutaweletea kinachoendelea katika uwanja huu wa Kashauriri hapa Mpanda Mjini.
Kinachoendelea sasa....
 

Attachments

  • 1434724533140.jpg
    1434724533140.jpg
    41.7 KB · Views: 281
  • 1434724574235.jpg
    1434724574235.jpg
    28.5 KB · Views: 239
  • 1434724601138.jpg
    1434724601138.jpg
    38.7 KB · Views: 248
Next wiki naenda kujiunga na chama pale TEGETA makaoo makuu, acha tuonge, tufichue na tutee asilimali za taifa letu kwa walio gueza kuwa nchi hii ya watu wachache.
UZALENDO KWANZA AMINA
 
Naiona saccos ya wachaga inavyokufa kwa kasi,

wana jamii naomba tusaidiane,kati ya wema na zito. :bange: kabwe ni nani maarufu? hiyo moja
la pili kati ya :bange: zito na wema :bange: sepeto nani atafanikiwa kwenda mjengoni mwezi wa kumi?
la tatu kati ya wema na :bange: zito nani kapitia taasisi sahihi?

zito ndio nani na sepeto ni nani?
 
Ha ha ha ha, smart def`n.
Ok,kuhusu suala la kuiga democrasia na mengine siwezi sana kulikataa.Duniani kote watu wanachukua skeletoni ya idea yoyote ila smart nations huwa wanailocalize na kuifanya iwafae na kuwa kwa manufaa yao.Sasa sisi huwa tunatumia settings zilezile tulizozikuta.Hapa namaanisha kuwa kila kitu kikiundwa kinakuwa na marekebisho ya mwanzo kulingana na mteja.Mfano software programs nyingi zinakuwa na default settings ambazo huwa unaanza nazo ila baadaye inatakaiwa tuzibadili kwa manufaa yetu,kuanzia number ya siri na mengineyo.

China hawakugundua chochote,ila siku hizi wana ndege za kisasa, Nyuklia, magari na vitu vingine vingi ambavyo wanatamba navyo.Saddam mwenyewe scud alinunua silaha na missiles ila akafanyia utundu na kumfanya awe katishio fulani ktk waarabu wenziwe.

Hata magharibi nao wamechukua mengi kwa tamaduni nyingine na kuyafanya yawafae.

Pia hatuhitaji kupoteza muda na gharama kutaka tuanzie sifuri ktk kila nyanja ya maisha.Tayari wenzetu wamegharamia researches na mengineyo na km ni iformation zipo wazi ni sisi kuzitumia tuu kwa ufanisi ili kufukia huu umbali tulioachwa. China na sasa India wameweza, sasa kama sisi tunasubiri tupewe haki miliki bure km ilivyokuwa kwa hati miliki ya kuzalisha dawa za kurefusha maisha kwa waathirika wa ugonjwa wa ukimwi tumeisha. Wachina wamecheza rafu mpaka wazungu wanalia.

Sisi kinatushinda nini wakati hakuna hata mwenye haja ya kuliangalia soko letu? Hapa kazi ni moja tuchukue utaalamu tuufany kuwa wa gharama nafuu then tupige kazi. Nashangaa hao SIDO na Veta wanataka Gundua Computer, gari au mashine yoyote ya kipindi hiki. Wenzio wana makampuni yenye nguvu kuliko serikali zetu, yanaendesha tafiti na yanatengeneza vifaa tofauti ktk hiyo computer au gari, sasa kutaka fanya kazi ya zaidi ya kampuni moja ni kupoteza muda.Wwao wapige akili cha kufanya basi waunganishe vipande kazi iende mbele.

Ok, nadhani ni muda wa kutumia akili na kucheza na vilivyopo duniani kwa manufaa yetu tutafika. Sasa tukitaka kugundua kila kitu. Tutarudi miaka mingi, kwani tutakuta hata nyundo msumari hatuna haki ya kutumia na hata tukiweza buni hatutaweza pata muda wa majaribio ambao vitu vya leo vimepitia. Pistoni ya gari imegundulika miaka mingi na kufanyiwa mabadiliko kwa vizazi, na ktk mazingira ya aina nyingi na gharama kubwa.

Kuna njia kibao za kuwahadaa mataifa ili kupata haki miliki kwa manufaa ya taifa. Njia rahisi ni kudai kupewa msaada na ruhusa ya research na bidhaa za bei nafuu kwa ajili ya vijana na wanafunzi, na baadaye kujikuta kila raia anapata vitu muhimu.Hivi ndivyo wenzetu India na China wamejikuta wanaweza tengeneza computer km laptop ambazo zinauzwa bei ya simu ya mlalahoi wa bongo.

India wamevuta watu kufanya tafiti vijijini na maporini ili kuwezesha huduma muhimu kupelekwa huko kwa gharama ya wengine, leo hii kuna vituo ktk vitongoji vya porini, amabvyo vina internet kwa umma kupitia satelite na kutumia solar, kitu ambacho kimesaidia makampuni machanga ya IT india kuweza kufanya kazi kwa urahisi bila kugharamia mitandao. Pia kazi nyingine za kufunga hivi vifaa zilipewa wahindi.Sisi tunabaki na kimoja tuu ubinafsishaji.

Tunashindwa anzisha wazo na kubandika taasisi za kimataifa wajibebeshe, hatujui hii ndio njia ya kuwadai gharama za ukoloni na utumwa bila nguvu.

Ok, nisiandike mengi ila hizi ndizo njia za kuwatumia wengine watujengee nchi.

Mkuu mada yako imeingiaje humu? Lakini ina maandiko mazuri yenye kujenga
 
Tuna changia sisi wanachama Kama unaswali tena uliza

Hhahahhaha mkuuu unanivunja mbavu zangu jama wamechanganyikiwa maana hawajijui kazi kujadili wagombea wa ccm wamejisahau kbisa km wana chama
 
Back
Top Bottom