Chama Cha Mapinduzi kimekufa, wamebaki wachumia tumbo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Viongozi waandamizi wa CCM ( katibu mkuu, Abdulrahman Kinana na katibu mwenezi ndugu Nape Moses Nauye), wamemtukana mwenyekiti wao wa CCM Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.

Wakihutubia kwa mbwembwe wilaya ya Kyerwa, vijiji vya Biharamulo na Kahama, walisimama jukwaani ambapo pamoja na uongo mwingi wa kuwadanganya wananchi kuwa wanawapenda, waliamua kusema wanataka sheria ya manunuzi ifutwe kwani inasababisha:

1. Urasimu mkubwa,
2. Badala ya kuondoa/ kuziba mianya ya rushwa imeongeza,
3. Inawazuia watu kufanya maamuzi bila kuingiliwa!

Wakati akipendekeza na kuagiza hayo mshauri huyo, mwenyekiti wake leo tarehe 18/6/2015, amesema kabla hajatoka madarakani anajivunia kupunguza rushwa kupitia sheria ya manunuzi (public procurement Act PPA).

Sasa watuambie : nani yuko sahihi? Pili, wakati akijinasibu kupunguza rushwa, mbona wakurugenzi wake wamepitiwa na CAG, bwana Assad na kusema halmashauri karibu zote zinazoongozwa na CCM zinaongoza kwa hati chafu?
 
Wao wanajua wananchi hawawezi ku-konect kama ulivyokonect dots hapo.
 
Kinana anakera pale anapoanza kulalamika kama mpinzani halafu wakati huohuo anawafariji wahusika kuwa anaenda kuwasilisha kwa mkubwa. Mkubwa mwenyewe hana habari na wewe. Nawe kote ulikopita nchi nzima unahaidi kutatua matatizo ya wananchi. Mbona hatuoni tija yoyote? Sie tunaona mnapiga hela tu za posho basi.
 
Ili ujue kuwa kimekufa,jk alitunga na kujivunia sheria ya manunuzi,lakini kinana anasema haifai,walikuwa wapi kumshauri kabla haijapitishwa,wakati wao ni wana caucas ya wabunge wa ccm?
 
Kwa kuwa usalama wa Taifa ni wa ccm,
pilisi ni wa ccm,
Mahakama ni wa ccm,
Majeshi ni ya ccm,

Nakubaliana na kikwete aliposema walioiba fedha warudishe kimyakimya,

Wenye kuuza madawa ya kulevya majina yao ninayo,jk

Wizi wa fedha,waficha fedha nje anao hawezi kuwataja maana ni miongoni mwa timu ya uongozi ya ccm ambapo hueezi kumtaja fulani ni mwizi usipogusa mfumo wa ccm mzima!

Kwa ujumla ccm haipo,kama chama ila ni kundi,la wezi lisipoondolewa madarakani,tusitegemee kuondoa rushwa
 
Mkuu Mwenye Macho Ambiwi Tazama
 
Watanzania msidanganyike na maneno ya ccm. Siku zote wana hila na hadaa. Walikuwepo madarakani miaka yote, hizo sera haribifu zilizo rasmi na zisizo rasmi kama rushwa na ufisadi, wameziasisi wao na kuzishamirisha. Leo wanaanza kujifanya wanagombagomba ili ionekane nao wanauchungu. Wtanzania msikubali!.

Kinana na Nape wanaposema watakwenda kusema kwa mkubwa wao, mkubwa wao ambaye ndiye anafagilia sera za mauaji ya ccm, wana maanisha nini kama siyo maigizo?

Kwanza anawaambia wananchi ili wafanye nini wakati alitakiwa kuwa amejua hayo mapema na kuyashugulikia hata kaabla ya kuweka sera mbofu mbofu!.

NINAONA USANII WA CCM UKIBADILIKA RANGI. AWAMU ILIYOPITA, YALIKUWA MAIGIZO YA KUKAMUA NG'OMBE, KUBEBA TOFALI, KUCHIMBA MITARO NA KUPANDA MIGOMBA ETI KUONYESHA YUKO KARIBU NA WATANZANIA!.

BAADA YA KUIGIZA UTANZANIA KWA KUWATUKANA WATANZANIA MASKINI, SAFARI HII WANAJARIBU KUVAA JOHO LA UPINZANI WAKIJUA WAKITUMIA HOJA ZA UPINZANI WATAAMINIKA.

Baada ya muda awamu ijayo na majina watabadilisha ili wajifanye siyo waliokuwa wakigandamiza kila hoja mkombozi ilpokuwa ikitolewa na wabunge wa upinzani. Na msipokaa sawa, watakuja na maigizo ya kukubali rasimu ya katiba ya Warioba kwamba hiyo iliyopo ni ya raisi wao na kwamba wanakwenda kumwambia aibadilishe.

Huu ni wehu!.
 
Asante sana Kamanda uchambuzi uliotoka Kwa mtu Makini
 
inasikitisha sana. yaani chama kimepewa mamlaka ya kukusanya kodi na kupanga ikulu lakini badokinalalamikakama chama cha upinzani...
 
Mbinu pekee waliyobaki nayo ya kujinusuru ni kuitumia t.u.me kuvurunda katika bwiviara.
 
CCM ni genge la MAFISI wenye njaa, ambao wako tayari kula hadi mifupa na kuwaua wananchi kwa njaa. ama kweli CCM inaelekea KABURINI. Na juzi wakati Amina Salum anaomba udhamini huko tanga alimtukuna jk kwamba ni rais wa kipekee hapa duniani kwa kitendo chake cha kuwaomba wezi wa EPA wamrejeshee fedha na kisha kuwaachia huru wezi hao.

CCM= Chama Cha Majambazi.
 
Tuakikishe Tunajiandikisha Tunapata Kichinjio
 
Wewe na wenzio wehu wakubwa nyie ndo wachumia matumbo wa UKAWA yaani Ukawa wamewageuza kuwa wake zao, mnaendeshwa na viongozi wachumia matumbo, nyau nyieeeeee mtaishia kubwatuka hivo hivo CCM oyeeeeeee!
 
Duu Naona unahasira ya jana fisi kutokukushikisha ukuta vizuri
 
Back
Top Bottom