Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

Wazo: Uitishwe Mdahalo kati ya Magufuli Vs Lowassa

JE MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS UFANYIKE AU USIFANYIKE?


  • Total voters
    12
  • Poll closed .
Nashauri uandaliwe mdahalo wa wazi wa wagombea wetu wa urais na urushwe live na TV zetu.
 
Hakuna Sababu ya Midahalo, Wanaofanya Midahalo Ni Wale Wasiojulikana Ili Waokoteze Undecided Voters. Mpaka Sasa Tafiti Mbili

Ikiwemo JF Inaonyesha Eddo Lowassa Ana Zaidi ya 80% ya Kura. Wasio Na Uhakika Ndio Waende Kuongeza CV.

NB: Kumbuka 2005 na 2010 Baada ya CCM Kuona Wanauhakika na Ushindi Waliikaa Midahalo,Hivyo Basi UKAWA Kwa Safari Hii

Kwenye Nafasi ya Urais Midahalo Si Hitaji. Sheria ya Uchaguzi wenye Swalal la Midahalo Ipo Kimya.
 
Ujue hamumtakii KILAZA MAMVI amani atazimia masikini labda awena aliye mnunua ZERO washirikiane hehehe
 
Hii fursa nzuri kwa wananchi kuwasikia na kuweza kufanya maamuzi sahihi kabla ya kupiga kura. Mwaka 1995 mdahalo ulifanyika lakini siku hizi jambo hilo limekuwa adimu.
 
Lowassa mgonjwa sana hata kuongea ni shida, hawezi kufanya mdahalo
 
Wana cdm wanaogopa mdahalo. Mteule wao sio mzuri na afya yake sio zuri kivile. Mtikila anaweza kuwafanya kitu mbaya sana.
 
Unaweza ukafanyika ila UKAWA tutamsimamisha Kamanda Mbowe kwa niaba ya mababu zetu. Mko tayari?
 
Kwa suala la mdahalo tusifanye mzaha ukawa, jamaa hawezi mdahalo kwanza hawezi simama muda mredu
 
Kwa suala la mdahalo tusifanye mzaha ukawa, jamaa hawezi mdahalo kwanza hawezi simama muda mredu
Si kusimama tu bali hata kuongea. Hana point za kuongea. Labda kama atakachosema kwenye mdahalo huo ataandikiwa
 
Magufuli hawezi kuelezea maswala mapana yanayohusu nchi, ataishia kutoa takwimu za Mabarabara na kusema nitakuwa mtumishi wa wote
 
Imekuwaje ccm wanataka mdahalo mwaka huu wakati 2005 walisema hakuna mantiki yakuwa na midahalo
 
Lowasa hawezi kukubali labda mdahalo ufanyike wakiwa wamekaa, na maswali apewe majibu kabla yaandikwe
 
Mdahalo ni muhimu kupima uwezo wa wagombea lakini sidhani kama vyama vya siasa vitakubali.
 
Ninachoitaji ni wabunge wa upinzani wawe 50% bunge, ili waweze kuisimamia serikali vzr. Ila kwa upande wa rais sina imani na EL kwa maandalizi haliyo yafanya ili awe rais napata tabu sana kuhusu kikatio changu cha urais
 
Mdahalo huo uhusishe wagombea Urais wote Kuna watu watuumbuka na wanaomfuata wote wataonekana mazuzu.
 
Back
Top Bottom