Recent content by Babaland7

  1. Babaland7

    Pikipiki za honda zinauzwa

    Wakuu nahitaji sana honda cg 110 Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Babaland7

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Niko hapa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Babaland7

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mpunga bora huangaliwa kwa kuchukua sampuli ya mpungo huo na kuupekecha katika viganja vyako matokeo ndio majibu yako,endapo mchele uliopekechwa utakua umekatika katika basi mpunga huo hauko sawa na endapo mchele mwingi unatua umenyoooka basi ujue mpunga huo ni shwari na utapata matokeo mazuri...
  4. Babaland7

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Kwanza inabidi utambue katika ubora wa mchele kwa kigezo cha radha na harufu nzuri n mchele kutoka mbeya,ila kwa kigezo cha mwonekano n mchele kutoka kanda ya ziwa..na kwa upande wa soko mchele wa mbeya uko juu sana
  5. Babaland7

    Huyu mdudu anaitwaje?

    Tandu
  6. Babaland7

    Madhara ya kuingiza mfumo wa haki sawa kijinsia (50 by 50) umeligharimu Taifa

    Leo unaenda sehemu mwanamke anapewa first priority zaid ya gents ijapokua lady hana sifa zinazofit kua mahali pale in other hand unakuta anapewa lite work..what the meaning?.
  7. Babaland7

    Madhara ya kuingiza mfumo wa haki sawa kijinsia (50 by 50) umeligharimu Taifa

    Kama wanataka haki sawa waitafute sio kupewa kitu ambacho ni unyonyaji kwa jinsia moja.maana haki hupatikana kwa kutafutwa
Back
Top Bottom