Recent content by BabaJunior

  1. BabaJunior

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Wala sipotez mda wangu kuangalia tena. Hivi Dotto Bulendu nae alishakimbia? Maana huyu mwandish namkubal sana.
  2. BabaJunior

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Tuzidi kumwomba Mwenyezi Mungu atuepushie na haya majanga. Ni yeye peke yake mtoa hukumu.
  3. BabaJunior

    Lowassa na genge lake Vs gesi yetu!

    Yatasemwa mengi, lakini nimeifunga akili yangu ili niipige chini ccm tuuuuuuuuuuuu, ukawa juuu..
  4. BabaJunior

    Kutokoma kwa hedhi, msaada madaktari

    Na mm naomba msaada wa kitaalam pia. Mke wangu amepatwa na hedhi kwa zaidi ya wiki sasa. Nini tatizo na tufanyeje? Natanguliza shukrani.
  5. BabaJunior

    Moses machali - what went wrong?

    Poor Machali, what a wrong decision? we know Zitto has a big influence but this doesn't mean that it is a right time to flee from NCCR-M.
  6. BabaJunior

    Hatuwezi kuuza jimbo la Dodoma mjini kwa 10000

    Aonywe haraka sana, UKAWA wafuatilie hili haraka.
  7. BabaJunior

    Miss JF

    Unenene nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  8. BabaJunior

    Kinana ameua kabisa upinzani

    Hakwenda kuua upinzani bali alikwenda kutafuta nini wapinzani waseme ili 2015 wachukue dola.
  9. BabaJunior

    Rasimu ya ccm: Wasomi, wanasiasa, wanaharakati waipinga

    Hongera sana mchambuzi. Mimi sii mwanasiasa lakini nitaingia ulingoni kuipinga hii katiba kandamizi ya CCM.
  10. BabaJunior

    Wanajeshi, polisi watwangana risasi

    Hakuna mtu ninae mchukia kama polisi. Watu wanavyosema polisi wapigwe ni kwamba wameshataabishwa sana na hawa watesa raia mara nyingi.
  11. BabaJunior

    Gold detector minelab gpx 5000 inauzwa

    this is good, precision yake ikoje?
  12. BabaJunior

    Starlet ya 2m automatic

    Magari ya aina hiyo yapo sana lakini ujiandae kununua lingine la kuvuta
  13. BabaJunior

    Mamia ya wanachama wa chadema MWANZA wamekusanyika katika ofisi za mkoa,

    Ni maisha kuwa magumu sana ndio maana mtu anatoka nyumbani na kwenda kushiriki maandamano.
  14. BabaJunior

    msaada kupata data kwenye hard disk

    Jamani nashindwa kurecover data kutoka kwenye hard disc ya laptop yangu. kila nikijaribu kufungua inasema DO YOU NEED TO FORMAT YOUR HARD DISK? naomben msaada kama kuna namna yeyote ya kupata data zangu. natanguliza shukrani
  15. BabaJunior

    UDOM wameshortlist kwa mlioomba kazi zao

    Fungua hapa, Kuitwa Kwenye Usahili Mwezi Machi 2014
Back
Top Bottom