mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
Huyu kanali mstaafu wa jeshi hapana chezea kabisa. Pamoja na cheo kikubwa sana alichonacho lakini hajali hali.. Anashiriki kazi za mikono na jamii anayoikuta. Si kulima, kujenga, kuendesha baskeli, bodaboda, kula kwa mama ntilie na hata kuvaa kiatu cha tairi maarufu sendeu kule kwetu.
tabia hii ya kinana ni janga kuu kwa upinzani uliobaki na sera ya maandamano haram ya kuvizia, ya kuhamasisha vurugu,matusi na lugha za kuudhi...
Nawashauri wapinzani waige nyendo za huyu jamaa.
Kinana ameua upinzani na hapohapo unawaambia wapinzani waige kutoka kwa kinana. Unatoaje ushauri kwa kitu kilichokufa. Logic!!!!!!!!!!!!