Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 670
- 347
Review nyingi YouTube zinaonyesha ATX ni nzuri zaidoBaba Junior naomba niweke hapa manual yake mengine yasome humo sina utaalamu wa ziada kwenye mambo mengine but i know ni chombo bora manake wanashinda na chombo cha Marekani kinaitwa GARRET ATX (ambayo marekani wamekataa kuuza nje ya nchi yao kwakuwa inahusisha ubunifu wake na NATO Military technology, but still kwenye forums inaonekana bado haiiwezi GPX 5000!View attachment 189846
Xwww.minelab.com/__files/f/22591/Instruction Manual GPX 4800-5000 (4901-0096-2).pdf