mwakafuka1981
Member
- Mar 21, 2015
- 21
- 3
Uwezi amini kuna mgombe hanaitaji kugombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini akiwaita kuwaeleza niya yake ya kugombea ubunge hatakama mpo 200 anatoa 10,000 kama posho ya kikao hivi tuuze jimbo kwa 10,000 tena anajiita mjasiria mali mmiliki wa hoteli flani huyu ni chizi tunaomba maoni yenu tumfanyaje huyu