Recent content by babajnr

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

    Pole sana kaka,yaliwahi kunikuta kwenye ukuaji wangu. Kwa sasa imebaki kuwa historia,Malipo huwa ni hapahapa duniani,yatamkuta tu. Wewe usilipe kisasi,that is non of your business. Msamehe na tafuta anakaye kuwa tayari kulia na kucheka na wewe.
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke graduate

    Mwanaume makini atajibidiisha katika idara zote,kuanzia uchumi hadi elimu, angalau hiyo italeta tafsiri halisi ya mwanaume ni kichwa cha nyumba. kinyume na hapo utaishia kulialia tu. After all hujafungwa nae huyo msomi, kama unaona elimu ni kikwazo basi, kaoe ngumbaru mwenzio. Umeniangusha sana...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    Madhara makubwa zaidi yapo kwa mabinti. Imagination za ajabu mwisho wa siku wanaishia kwa michepuko.
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Kaka pole na hongera kwa kukutana na jaribu kama hili. Umeonesha ukomavu wa hali ya juu kulingana umri wako hasa kwa kitendo cha kutokulipa kisasi kama ulivyokuwa umepanga kabla. Mi nina jambo moja tu. Amani ya nafsi inapatikana kadri muda unavyoenda. Usilazimshe kupata amani na furaha ndani ya...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania duh! ama kweli binadamu hatuna jema! hata ufanye nini, lazima watu waseme negatives tu juu yako!

    mia kwa mia, binadamu hatuna jema
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkeo anajivunia nini juu yako?

    anaaamini sichepuki
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nani wa kwanza anaepaswa kuihudumia familia yake ni baba au mama?

    wote tunatakiwa kuhudumia familia, hakuna cha baba wala mama,familia ni ya kwetu sote
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tuwache Unafiki Baada ya Kifo cha Mtoto Nasra Sasa Tubadilike na Kujali Watoto wa Mtaani!!

    Watanzania tunaishi maisha ya kuigiza sana.....aaaaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Alininyima Kwa Muda Mrefu, baada ya kunipa nimeamua ku...!

    im very sorry to say this but no way.....your reasoning capacity is reasonably low....,think about ur mother n ur sisters if you can tolerate such kind of insults. mwanaume kamili hadhalilishi wanawake wewe jibaba,umezaliwa na unadada pia....
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania House girls na akina baba

    likely umeibiwa mume na hg? pole,dunia tunapitaaaaaaaa,sitegemei kula beki 3.....na zero grazing ni hatari sana,fumanizi njenje...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sua tutakufa na njaa

    You cant be serious. mfyuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume

    i used to be a gentleman,after sometime she will comeback while crying. hakuna sababu ya kuweka bifu na binti alokukataa.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kijana, kujenga nyumba ni uoga wa maisha

    nahisi bado unakaa kwa wazazi ww na wamekupa kibanda cha urithi....,think out of the box and avoid hasty generalization young man!!!!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    inategemea uko wapi,km unaweza kwenda pembeni mwa mji unaoishi kanunue kuku wa kienyeji (hawatafika 10) ukauze mjini, au nunua beli la mtumba tembea nalo minada ya vjijini. Hatua kwa hatua uta gain momentum,usiogope kauli za watu wa humu jf, wako so impersonated,hata mbuyu ulianza kama mchicha...
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fundisho gani Kuvunjika kwa ndoa ya Vicky Kamata?

    tunabwabwaja tu hapa,hayajatukuta tu
Back
Top Bottom