Okay mwaka 2020 TTCL iliwahi kutoa gawio la Bil 2.1 PITIA tukisogea miaka miwili mbele tunaambiwa inajinedesha kihasara sasa hapa nadhani wangeweka tu wazi what happened mpk TTCL atoke kutoa 2.1 mpk kuonekana hasara within just 2 years
Nina Acer Aspire 5601 AWLMi adapter yake ni mpya kabisa lakini machine aiwaki hata taa ya battery haioneshi kitu yaan sijui nifanyeje msaada tafadhani na kam ni kutengeneza itacost kiasi gani ili nijipange kbsa
Ama kwa hakika ni uchwara au uchovu tu wakufikili tu kwa watu kadhaa wanaongoza chama hiki kikongwe hapa Tanzania sitaki kukikashifu chama hichi kitaifa ila kwa ngazi ya chini kabisa ni siku mbili tu zimepita Tangu chama hichi Tawala kimemaliza mchakato wake wa kuchagua wagombea watakaogombea...
mkuu kuuzwa kwa Suarez sio sababu ya msingi ya kujitetea kushuka kwa kiwango cha liver kwan pesa walizopaTa walishindwa kusajiri mtu mwingine mwenye uwezo wa kuziba Pengo la Suarez
wakuu kwa yoyote aliye na tecno smart napenda tufanye biashara nina nokia asha 201 na 40000 yaan nampatia simu na hela kwa aliyetayari nicheck kwa 0712094731 nipo dar na hata mwenye bb ni sawa tuu napenda kuwasilisha wakuu
Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni nokia asha 201 ipo safi tuu bei ni 60,000.
Kwa aliyetayari ni pm tufanye bishara bei inaongeleka,
Napenda kuwasilisha hoja.
Asante wadau
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.