Yieen
Senior Member
- May 8, 2012
- 103
- 27
Ki ukweli Liverpool fc, ni timu yangu na ninaipenda sana tena kwa chati ya moyo wangu.. Ila kuna kitu kinacho ni kera katika msimu huu, kuona mchezaji Kama Raheem stering, anapewa nafasi ya kucheza mechi zote tena kwa Dk 90 lakin mwisho wa siku ana deliver upuuzi mtupu chenga nyiiingi,,mwisho wa siku tunafungwa...kiukwel hii Ali inaniuma sana ndugu zangu hamjui tu.