Nahitaji Simu Nokia E72

Nahitaji Simu Nokia E72

Mng'ongo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2013
Posts
243
Reaction score
191
habari wakuu nahitaji simu Nokia E72 mwenye nayo ani PM Bei maelewano hali ngumu wakuu isiwe ya kukomoana.
 
Mi nina nokia c5-06.naiuza laki moja ni original.kama unataka ni pm ana nipigie 0783905864
 
Ipo E 73……ni pm tufanye biz

Ina kipi cha ziada kushinda E72?
Ila vema uki ni Pm ndugu maana simu nliyo nayo haina uwezo wa kufungua post zilizo pita huwa napata tabu sana
 
mimi ninayo hiyo E72., nahitaji 75,000 tu. Hapo sipunguzi hata senti. Sasa kama utaona nimekukomoa basi nenda dukani mkuu .
0715553166
 
mimi ninayo hiyo E72., nahitaji 75,000 tu. Hapo sipunguzi hata senti. Sasa kama utaona nimekukomoa basi nenda dukani mkuu . 0715553166
mbona napiga simu yako haipatikani ndugu km bado unayo ni check kwa PM tufanye biz
 
habari wakuu nahitaji simu Nokia E72 mwenye nayo ani PM Bei maelewano hali ngumu wakuu isiwe ya kukomoana.

mkuu nina nokia e6 leta hela nkupe iko fyn sana na ina cable ya tv na cable ya kusomea flash... 230,000/=
 
mkuu nina nokia e6 leta hela nkupe iko fyn sana na ina cable ya tv na cable ya kusomea flash... 230,000/=

Gharama sana mzee me Ela yangu ya madafu na ndo maana nika htaj cm ya aina hyo ila ahsante.
 
Ukiwa na 100. Nichek ntakupa na charger na ear4n 0758158730
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom