CCM na dansi yao wenyewe

CCM na dansi yao wenyewe

Baba_Rio

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
17
Reaction score
5
Ama kwa hakika ni uchwara au uchovu tu wakufikili tu kwa watu kadhaa wanaongoza chama hiki kikongwe hapa Tanzania sitaki kukikashifu chama hichi kitaifa ila kwa ngazi ya chini kabisa ni siku mbili tu zimepita Tangu chama hichi Tawala kimemaliza mchakato wake wa kuchagua wagombea watakaogombea katika uchaguzi wa mitaa mwezi 12 bila shaka wamejidhatiti kushinda kwa kishindo lakini hawajui kwamba kushinda ni kujipanga na kushindwa ni kujitayarisha bila mipango tazama jinsi wanachama wenyewe wa CCM wanavyopeana rushwa tu ili kumpitisha mgombea ndani ya chama chao wapo waliopewa pesa,togwa,soda na vito Swali ni moja kam uchaguzi wa ndani ya chama mumepeana rushwa Je viongozi hao wakipata nafas kwenye ngazi hizo si watauza mitaa yetu kwa kurudisha Mitaji walio wekeza ?!
 
Hawana jipya tena, wasubiri kupokea matokeo ya kushindwa toka kwa sisi wananchi
 
Back
Top Bottom