Nokia asha 201 inauzwa

Nokia asha 201 inauzwa

Baba_Rio

Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
17
Reaction score
5
Wakuu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ni nokia asha 201 ipo safi tuu bei ni 60,000.

Kwa aliyetayari ni pm tufanye bishara bei inaongeleka,

Napenda kuwasilisha hoja.

Asante wadau
 
ooowk, nimekusoma kaka, lakini kwa bei hiyooo hupati,, juzi nimenunua BB kwa bei hiyooo,, leo unataka kuuza asha kwa bei hiyoooo.……!!! ni ushauri tuuuuuuu..!!!
 
yaaaah asante mdau ndo maan nimesema bei inaongeleka mzee
 
Oya bb Wapi kwabei hio?namm nina70 nataka BB.
 
ungeweka namba ya simu PM inashelewesha mambo

Back
Top Bottom