Mtaendelea kupata hasara maisha yenu yote kama mtaendelea kumuita Alikiba katika show zenu
Alikiba ana umwinyi sana,anamanagment mbovu,yeye mwenyewe hajitambui kabisa
Unapoandaa show na kumlipa msanii ahusike katika show anapaswa akusaidie kuitangaza show husika ili na wewe urudishe pesa...
Dah!! Hili duka linakimbiza kwa sasa hapa mjini hatari... Huyu kijana ni mbunifu sijawah ona.
Juzi nimepita na kununua raba zangu pale kwake baada ya kuona matangazo ya biashara zake kwenye mitandao ya kijamii ambapo mwanzoni sikuamin kama itakuwa kweli maana bei ilikuwa cheap sana ila...
Mimi ni mfano ndg nilikopa 4m baada ya muda den likaja 14m niliona isiwe kesi wamenikomoa na me nawakomoa silipia naacha kaz sahiz nimejiajir naishi kwa amani
Mmeo ni kama mimi,nimeoa ila nahisi nulikosea sana kuoa maana simpend mke wangu,sina ham nae,sisimki wala sitak hata mazoea nae hali hiyo imesababisha niache kazi na kuka kujiajiri mjini na kumuacha mkoani! Kiukweli niko nae kwa sababu iman yangu haina neno kuvunja ndoa na yeye anajua simhitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.