Hii ndo EPL Gurdiola


B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Messages
1,057
Likes
1,398
Points
280
Age
5
B

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2016
1,057 1,398 280
Unaliwa 4-0na mtu anayekaribia mstari wa kushuka daraja

Karibu epl wanasemaga sio ligi bora ila zile mbili ulizozoea kila weekend kupiga watu 6 na 5 hapa unapigwa wewe hahahahaha
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
46,231
Likes
33,393
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
46,231 33,393 280
Jamaa atakimbia, arudi tu espanyol
 
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Messages
17,773
Likes
62,611
Points
280
Mussolin5

Mussolin5

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2015
17,773 62,611 280
Huku ndio kipimo halisi cha uwalimu wake wa mpira. Sio kule Ujerumani na Uhispania kwenye ligi za timu mbili.
 
H

havanna

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
1,432
Likes
1,135
Points
280
Age
49
H

havanna

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
1,432 1,135 280
Ndio tutajua ni kocha bora au bora kocha
 
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Messages
16,244
Likes
4,028
Points
280
Rweye

Rweye

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2011
16,244 4,028 280
Anatakiwa kuwaheshimu akina Wenger na kama si kubebwa basi ajue hata hizo club za Spain hazina uwezo wa kuwa zinachukua uefa cup
 
G

george ndomba

Member
Joined
Nov 29, 2016
Messages
58
Likes
36
Points
25
Age
35
G

george ndomba

Member
Joined Nov 29, 2016
58 36 25
Mimi kilasiku nasema epl ndio ligi bora nangumu kabisa duniani pale kilamtu mbabe sio huko kwingine eti mtu mwenzake akipoteza game mbili mwingine tiali bingwa huku atamtu apoteze tano bado anaweza kuwa bingwaa
 
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Messages
5,557
Likes
5,257
Points
280
troublemaker

troublemaker

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2015
5,557 5,257 280
halafu kinachonishangazaga kuna wanafiki huwa wanaiponda hii ligi sijui huwa hata wanatumia kigezo kipi.
 
wizzy more

wizzy more

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2016
Messages
432
Likes
185
Points
60
Age
49
wizzy more

wizzy more

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2016
432 185 60
Alkua anapaona PA mcheke aaaaahhhh
 
enockino

enockino

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2014
Messages
259
Likes
128
Points
60
enockino

enockino

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2014
259 128 60
Unaliwa 4-0na mtu anayekaribia mstari wa kushuka daraja

Karibu epl wanasemaga sio ligi bora ila zile mbili ulizozoea kila weekend kupiga watu 6 na 5 hapa unapigwa wewe hahahahaha
4-2
 
Yomakon

Yomakon

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Messages
554
Likes
546
Points
180
Age
51
Yomakon

Yomakon

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2016
554 546 180
Pep wakati anakuja engalnd alisema kuwa anawaza tu ni jinsi gani atapata tabu kuendesha gari katika jiji la manchester nasii kingine ...hasa najua saizi akili yake itakuwa immekaa sawa
Na mpaka tukafike may mwakani atakuwa ameisoma namba ..
 
wamisako

wamisako

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
918
Likes
851
Points
180
Age
27
wamisako

wamisako

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
918 851 180
Kule mtu anacheza game 35 au 39 bila kufungwa but EPL hicho kitu kwa sasa hakiwez tokea , kuna watford, burnley soton lazma tu wakutekenye
 
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
20,387
Likes
1,855
Points
280
U

Ulimakafu

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
20,387 1,855 280
Ha ha haaaa...EPL bana.
 
quadraqoraman

quadraqoraman

Senior Member
Joined
Aug 11, 2016
Messages
173
Likes
86
Points
45
quadraqoraman

quadraqoraman

Senior Member
Joined Aug 11, 2016
173 86 45
Engaraii nimefurahi tena ssana tu ooh sana
taphala doi Shee..
 
H

havanna

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Messages
1,432
Likes
1,135
Points
280
Age
49
H

havanna

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2016
1,432 1,135 280
Hahaha mnataka mumuadhiri mzee wa watu
Alikuwa anajificha kwenye mchicha kipind cha mvua sasa acha ajifiche kwenye mbuyu kipindi hiki sasa ataweza au atafukuzwa
 
amygdala

amygdala

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
1,081
Likes
973
Points
280
amygdala

amygdala

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
1,081 973 280
mie sielew huo uzuri au ugumu wa EPL kina totenham wanagawa vipigo kwa mancity, wanaisumbua arsenal kwelikweli lakin tumeona kwe champion league amekutana na monaco amepigwa nje ndani, akakutana leverkusen damu tupu..hizi timu za EPL zikichepuka tu zikakutane na Dortmund zinakaa,timu za uingereza hazijawah hata kumfunga PSG,,,Kimtazamo wangu EPL ni ligi ngum kwakuwa timu shiriki zina viwango tu vinavyofanana tu na amna timu yenye uwezo wa juu level ya barcelona na madrid au bayern
 

Forum statistics

Threads 1,274,995
Members 490,874
Posts 30,529,935