Recent content by Baba yako mbaya

  1. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa Primary School Niko Simiyu Halmashaur ya Bisega naomba kuhamia Kagera wilaya yoyote ikiwezekana Missenyi njoo inbox tuwasiliane
  2. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tu, Upinzani nchini usiwe Mzigo.

    Ukweli mtupu umezungumza
  3. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu: Jinsi ya kupata pesa za masharti

    Kwanza pole sana achana na mawazo ya kuwazia ajira nionavyo mm kuna shughuli kibao za kufanya siyo lazima uajiliwe ndo utoboe kimaisha anzisha bustani au kilimo cha mazao ya Biashara kulingana na eneo ulilopo ukifanya kwa nia utafanikiwa tu ila usijiingize ktk Mali za kishetani coz itakugharimu...
  4. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Uchafu wa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu Ndg. Ombeni Sefue

    Magufuli niko radhi kujitolea kukulinda masaa 24 bure hata nishinde njaa sitojali
  5. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania RADIO ONE STEREO: NI UPENDELEO AU???

    Mimi ni Yanga damu kama ndo radio One wanafanya hivyo kiukweli siwaungi mkono labda kama Manji ndo analipia matangazo hapo sawa
  6. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Acha upuuzi wako wa kidini Kikwete ni mpendwa kwa lipi? Umekalia udini tu mpuuzi wewe
  7. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Balozi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi

    Katumbua la kwapani kabisa hili
  8. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa JWTZ wako juu ya sheria za nchi?

    Nenda kashtaki kwa Magufuli humu utaleta majungu tu
  9. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Kwanini tukiwa tunarahatupuika tunafumba macho?

    huyo nae atakuwa na mapaja mabaya anaogopa utayaona
  10. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mkoa Simiyu wilaya Busega nije Kagera Missenyi Whatsapp/call 0763737389 au 0684940271 Idara Shule ya Msingi
  11. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Tarehe za kupata mimba ni zipi?

    WAMEANZA KULIA WENYEWE
  12. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Nimerushiwa kirusi na ninaohisi ni illuminati

    Hahaaaaa yelewi hao Illuminant ndo wadudu gani? Pumbavu zao dawa yao Yesu
  13. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi zaidi kuinunua CCM kuliko UKAWA

    Hahaaaaaaaa CCM kimebaki kichaka sasa hivi kila MTU anasikilizia upepo subiri baraza LA mawaziri livunjwe ndo utajua nan atabaki ccm
  14. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi zaidi kuinunua CCM kuliko UKAWA

    Nimekuwa nikifuatilia jinsi makada mbali mbali wa chama cha Mapinduzi (CCM) wanavyokihama chama hicho ndo kusema kwamba CCM imenunuliwa zaidi kuliko UKAWA? Au Chadema? Hahaaaaaaaa CCM bhana kumbe hamna mbinu za campaign MTU mmoja tu ameendelea kuyumbisha chama takribani miezi 3, mmeshindwa...
  15. Baba yako mbaya

    JamiiForums Tanzania Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

    Hahaaaaaaaaaaaa ccm bhana
Back
Top Bottom