nimejaribu kuzoom hii picha nimeshindwa dah...ila haikuwa na haja ya kutuma kirus kwako coz hizo taarifa zao nyingi zipo kwenye google...au uliingia kwenye harmful sitesnilikua naorodhesha orodha ya mamlaka zinazotawala ulimwengu na kuweka jedwali hapo pichani
Sijakuelewa
Sidhani hiyo post yako ina kitu chochote ambacho ni very new
ambacho hakipo online tayari
punguza wasiwasi....post upya na itakaaa