Tarehe za kupata mimba ni zipi?

signup

New Member
Jan 6, 2016
2
1
Habari waungwana nimejitokeza hapa kuomba kujuzwa tarehe nzuri ya mwanamke kupata mimba.

Asante.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwanamke tarehe za nyege zaid ndio hormones za nyege zinazalishwa zaid sambamba na kupevuka Yai.kama mzunguko wake ni 28 days basi kuanzia siku 11 mpaka 17. Siku huanza kuhesabiwa kuanzia siku ya kuanza kutokwa na damu ya kiada (Hedhi).
 
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,32

Mzee Tupatupa
 
Hii kitu inatofautiana baina ya mtu na mtu nadhani... Mie kna mtu nilikutana nae yy ni tano nzuri then tano mbaya mwaka mzima na hakupata mimba. Sasa sijui hapo inakuaje...!
123456789101112131415161718192021222324252627282930
nyekundu ni hedhi na bold ndio danger yake.

*wajuvi waseme hii nayo ni kvp.
WADADA TUNAWAHITAJI MTUPE DARASA ILI MICHEPUKO ISIJIBEBESHE MIMBA
 
mh! kwani kuna tarehe mbaya ya mwanamke kupata mimba?
by the way subiri wanakuja
ccKungurumweupe and others
 
uploadfromtaptalk1452159667791.jpg
WAMEANZA KULIA WENYEWE
uploadfromtaptalk1452159718665.jpg
 
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29
1,2,3,4,5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,15,16,17,18,19,20,21,22,23,24,25,26,27,28,29,30,31,32

Mzee Tupatupa
Asante Mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom