Recent content by baba wa toto

  1. baba wa toto

    Wanawake ni wagumu sana kukiri makosa

    Habari za usiku huu wapendwa, Mada niliyoileta mezani nikuhusu pale wapenzi wanapokoseana inapotokea hivyo mara nyingi kwa tathimi inaonekan ni ngumu sna wanawake kukiri kosa hata kama ndo umemfuma basi atajitetea wee kwa namna yoyote ile ili asionekane yeye ndo chanzo yani atataka aonekane...
  2. baba wa toto

    Magaidi wawili wauawa Mbagala Kilungule

    hiyo muvi yako inaitwaje siamin kma wabongo mmeanza kuigiza muvi hizo ....Taarifa yko hain source
  3. baba wa toto

    Msaada tafadhalini: Nifanyeje nimwamshe mke wa mtu kwani anasafiri alfajiri hii na bado amelala

    mmmh nafikiri ukikatwa mshipa mmoja wa akili uliokuwa nao bas utakua kichaa....nainanysha ww ni bwabwa sio bure
  4. baba wa toto

    Mbeya: Utitiri wa redio ni kero nyingine

    Hyo kyela Fm kwa kwel pale sidhan hta watangazaji wake wamesomea fani y uandishi nadhan weng n wale waliofel form4 cha kushangaza pia ikitokea umeme umekatika mtaan bas n studio umeme umektka kama kulikua n kipindi mpk wawashe jenereta ndo waendeleze kipindi
  5. baba wa toto

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Japo kwa uchache ikibidi ntakupa na mawasiliano ya walimu wahapo kwa maelezo zaid Nakaribisha maswali
  6. baba wa toto

    Ukitaka usizeeke mapema, fanya yafuatayo

    Hivi watu kama hao wakitoka kuoga nahisi kabla hajajipaka hayo mavitu wanatia kinyaa sna hata kuwaangalia na sipend sana wanaovaa mawigi maana joto lililopo kwnye wigi ukivuta harfu yke utawez kutapika i hate sana
  7. baba wa toto

    Ukitaka usizeeke mapema, fanya yafuatayo

    Vizur ni wachache sn km we i wish i could meet someone like you in my life but nd ivo tna..
  8. baba wa toto

    Sina malengo naye lakini ukarimu wake unaniweka pazuri

    Is not fear kbsa kama utaweza n vyema ukalipa gharam zote alizokufanyia au ni bora ukamfnyia vitu ambvyo angalau uwe umemuacha katka mazngra fulan mazur
  9. baba wa toto

    msaada...mwanamke wa namna hii

    hahaha mkuu u made my day kwakwel
  10. baba wa toto

    Baada ya kutendwa, uliweza kupenda tena kwa kiwango cha juu zaidi ya kile cha awali?

    first love nltokea kumpenda sna but yy hakujali hilo alinitenda second alinipenda sana ila sikujali mwisho wa siku kila mtu alshk 50 zake third nlimpend sna ila hakujali....mmmh sijui kwann napopenda naznguliwa napo pendwa nazingua...
  11. baba wa toto

    Baada ya kutendwa, uliweza kupenda tena kwa kiwango cha juu zaidi ya kile cha awali?

    umeongea mapoint dada yngu nakupongeza inaonyesha jinsi gani ulivyomvumilivu
  12. baba wa toto

    Ukitaka usizeeke mapema, fanya yafuatayo

    Mkuu ushauri wako mzur ila sass hayo mambo kwa wadada wengi wa kibongo ni ngumu unataka wakose hela ya kula?
Back
Top Bottom