- Thread starter
- #21
Lakini mkuu as far as I am concerned ukutane na binti leo mkubariane umpeleke kwako? Basi inawezekana kwako kuna shida ukichanganya na manukato yao ndo balaa. Pia inawezekana unaowatafuta ma house girl ndo shida hawana muda wa kujusafisha. Badili strategy mkuu
asante kwa ushauri mzuri