Ukitaka usizeeke mapema, fanya yafuatayo

Ukitaka usizeeke mapema, fanya yafuatayo

afadhali umesema 'wengi' maana am alwayz natural situmii makup yoyote, tangu nimezazliwa sijawahi vaa wigi&kufuga mikucha ya shetani but hela ya kula na ku invest kidogo napata. wajiamini tu
Vizur ni wachache sn km we i wish i could meet someone like you in my life but nd ivo tna..
 
Hivi watu kama hao wakitoka kuoga nahisi kabla hajajipaka hayo mavitu wanatia kinyaa sna hata kuwaangalia na sipend sana wanaovaa mawigi maana joto lililopo kwnye wigi ukivuta harfu yke utawez kutapika i hate sana
 
Nawapenda wote

Fanya yafuatayo ili uonekane 10 years younger;

1. Epuka make up iliyopitiliza, mkorogo na mengine kama hayo
2. Epuka weaving, kucha, etc vya bandia

3. Usivae nguo za kukufanya uonekane wa makamo lakini vaa nguo za heshima

4. Nyonyesha kwa muda mrefu mwili unajibalance naturally

5. Epuka pombe. ukishindwa kunywa mara moja moja

6. Epuka artificial contraceptives

7. Jenga tabia ya kunywa chai ya ranging ( black tea) - imethibitishwa

8. Kuwa as natural as u can utaona matokeo yake. usisahau kula vizuri na kupumzika
If you're not fully booked and occupied please let's keep in touch.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom