baba wa toto
Member
- Jul 4, 2015
- 19
- 4
Habari za usiku huu wapendwa,
Mada niliyoileta mezani nikuhusu pale wapenzi wanapokoseana inapotokea hivyo mara nyingi kwa tathimi inaonekan ni ngumu sna wanawake kukiri kosa hata kama ndo umemfuma basi atajitetea wee kwa namna yoyote ile ili asionekane yeye ndo chanzo yani atataka aonekane innocent kabisa na anaweza akakugeuzia kibano, hiyo nitofauti kwa upande wawanao msingizia huyu jamaa yetu (shetani)namaanisha wanaume kwani sisi mara nyingi maji yanapofikia shingoni huwa tunakiri ni kukubali yaishe.
Swali; Kwanini wanawake mnakuwa wagumu kiasi hicho? Inabidi kama umekosea unakiri kisha msamaha ni unamtu muelewa atakuelewa.