Recent content by Baba wa Amani

  1. B

    JamiiForums Tanzania App ya kwanza inayoonesha mambo yanayovuma Tanzania

    Vip sisi kwenye simu za windows. Mtukumbuke pia
  2. B

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Lege moyo wangu bado unao. Nihurumie mwenzio Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  3. B

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Lege si bado tunakusubiri hata ikiisha mwakani. Una wadau wengi mno.
  4. B

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    0755720872
  5. B

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Nawaza sana, Itakuwaje endapo Monica atazama kwa Austine, jaman Lege.
  6. B

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Lege, ujue wew ni mtu wa muhimu sana. Ukiona roho za watu zipo juu kwa sababu yako ujue we ni kichwa. Natamani kukufahamu zaidi. Story zako cjui zina nini.
  7. B

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    We lege, we umeandaa akina Austine humu, wakianza umafia utatoa tu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

    Lege,
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Ninashukuru sana kwa uzi huu, nimeona wengi hawana uchoyo na suala hili. Ni dhahiri kuwa watazania wengi tumekosa fulsa mbalix2 kwa kutozijua zilipo, na wanaozijua hawazitoa bayana. Shukran kwa waelekezaji, ombi langu, wengi tunataka kusoma nje ya tz yetu, lakini uchumi unadumaza sana ndoto hizi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ufadhili wa masomo ya degree ya pili nje ya nchi

    Ndgu zangu, ninaomba kuunganishwa na taasisi yeyote unayohusiana na kilichoandokwa juu ili nipate maelekezo. Nina miaka 3 tangu nimalize shahada yangu ya kwanza ktk chuo kikuu cha DSM, Nina kiu sana ya kupata masters hasa nje ya nchi. Msaada wenu wadau!!!!
  11. B

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Lissu, Lissu, hivi huoni kam wadogo zako, ndgu zako tunaumia ns hii sheria ya Loan bord y 15%?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Hapa patamu, nakushukuru san TCNO BOOM J5, naenjoy na hizi soga za madawa ya kulevya
  13. B

    JamiiForums Tanzania Salamu kwako Makonda na hongera kwa hatua hii la madawa

    Pole na kazi, najua umeamua kuingia kwenye kazi ngumu na ukombozi kwa ajiri ya Taifa hili. Kila ukombozi wowote huwa kuna uchungu kwa upande mmoja na utamu kwa upande mwingine unaopiganiwa. Lakini yajue haya! A) Wamepita viongozi wengi tangu taifa lipate uhuru, waliuona huu uozo tangia ukiwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dunia (earth)

    Jaman, hakuna elimu inayonichanganya sana na kuipenda kama elimu ya anga.
Back
Top Bottom