Baba wa Amani
Member
- Aug 22, 2016
- 56
- 36
Ndgu zangu, ninaomba kuunganishwa na taasisi yeyote unayohusiana na kilichoandokwa juu ili nipate maelekezo.
Nina miaka 3 tangu nimalize shahada yangu ya kwanza ktk chuo kikuu cha DSM, Nina kiu sana ya kupata masters hasa nje ya nchi. Msaada wenu wadau!!!!