Baba wa Amani
Member
- Aug 22, 2016
- 56
- 36
Pole na kazi, najua umeamua kuingia kwenye kazi ngumu na ukombozi kwa ajiri ya Taifa hili. Kila ukombozi wowote huwa kuna uchungu kwa upande mmoja na utamu kwa upande mwingine unaopiganiwa.
Lakini yajue haya!
A) Wamepita viongozi wengi tangu taifa lipate uhuru, waliuona huu uozo tangia ukiwa mchanga hadi kufikia kukoma kama biashara ya nyanya. Wengine waligusa mikono ikawasha, wengine walijifanya vipofu huku taifa likinyauka.
b) Watanzania tulio wengi hatuna roho ya kupongeza kwa jambo jema linalofanyika bali tunakebehi na kuponda, lakini mwishoni tunashuru.
c) Ni muda mrefu sana wasamalia wa taifa hili wamekua wakiandika sana juu ya jambo hili lakini baada ya operation wamegeuka na kuanza kuponda harakati zako njema
Usikate tamaa, ni kijana uliyeamua kufanya jambo na lifanye kweli, malipi ni baada ya kazi.