Recent content by Baba Uzia

  1. Baba Uzia

    Nahitaji kujua ni lazima kuoana hadi mthibitishwe kidini ndo iwe ni ndoa halali?

    Ukisoma katika biblia Mwanzo 2:24 haijalazimisha kuwa ili unganiko lenu liwe halali ni lazima ndoa ifanyike kanisani (kwa Wakristo). Kufunga ndoa kidini ni UTARATIBU WA KIBINADAMU ULIOPANGWA AU NI UTARATIBU WA "LAZIMA" WA MUNGU?
  2. Baba Uzia

    Msaada wa ufafanuzi katika ujenzi wa ghorofa moja

    Uko vizuri kaka umetoa maelezo mazuri sana kwa aliye makini atakuelewa. Pia umenisaidia sana maana soon nina project ya kujenga nyumba ya ghorofa moja. Hii itanisaidia kukadiria materials na gharama za uendeshaji wa kazi pia.
  3. Baba Uzia

    Kwa mara ya kwanza nimekuwa na mahusiano na wanaume wawili

    Mama huruma....tabia ni sawa na ngozi
  4. Baba Uzia

    Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

    Mbowe huwa anafukuza au kuwazulia skendo wote wanaotaka kuwania Uenyekiti wa chama sembuse kujadili kumfukuza!! Atawaroga woteee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. Baba Uzia

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tukutane huku kwetu mil 200 Kwa mia moja
  6. Baba Uzia

    Dudubaya ni ngangaripoa?

    Mueleze ukweli au naye anasapoti ukakapoa? Dudubaya ni mzalendo wa kweli ameamua kuweka wazi ili kumuunga mkono mheshimiwa Paul
  7. Baba Uzia

    Dudubaya ni ngangaripoa?

    Dudubaya anauhakika na hao watu ndio maana amesema kuwa kama watakutwa na MARINDA aende jela! Hivi kwanini watajwe wao? Sio Mara ya kwanza kusikia tetesi hizo Kwa watuhumiwa huenda Kuna ukweli ndani yake!
  8. Baba Uzia

    Msemo wa saivi

    Kama "suruali" yako haina marinda wewe ni shoga.
  9. Baba Uzia

    Namna ya kuongeza salio( muda wa maongezi ) AIRTEL - TTCL

    Hakuna makato yoyote Yale utakayokatwa kutoka kwenye M-Pesa yako
  10. Baba Uzia

    Namna ya kuongeza salio( muda wa maongezi ) AIRTEL - TTCL

    BONYEZA MENYU YA M-PESA FATA HATUA HIZI; (1)*150*00# (2) 4 (3) 4 (Namba ya kampuni ni 339999) (4) Namba ya kumbukumbu ni Namba yako ya simu. (5)Kiasi (6)Namba ya siri....... NINACHOWAPENDEA HAWA TTCL NI KIFURUSHI CHA JIACHIE YAANI UKIUNGA BANDO LA DATA, DAKIKA AU SMS UTATUMIA HADI SIKU...
  11. Baba Uzia

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa tz hakuna app hiyo ni ya Ghana
  12. Baba Uzia

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Karibu supabets Supabets Tanzania
  13. Baba Uzia

    Play master haooo online lipa kwa Tigo Pesa, Airtel Money, (M-Pesa coming soon)

    Ok link niliweka kimakosa hii hapa www.pmbet.co.tz Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom