nashukuru kwa Uzi huu mzuri sana!
Swala langu ni kwamba nataka kuagiza gari toka Japan;FOB price yake inauzwa $723 Toyota progress ya mwaka 2000 mpaka inaingia nchini na kuclear kila kitu na TRA. itanitoka kama bei gn?;na unapoagiza gari ni vitu gani(fees) utatakiwa kulipa mpaka unapata gari...
Nmepitia ushauri wenu mlionipa;nmechukua ambao naona unafaa na mwingine mmenichekesha sana japo mlionichekesha nahisi mnadhani natania;Aliyeuliza uchunguzi niliufanyaje ni kwamba SIKULALA na neti haikuchomolewa;nikilala tu nikishtuka nakuta tayari;pia mm huwa silali vibaya kwamba narusharusha...
Habari wana JF,
Kila ninapolala usiku huwa nachomekea neti vizuri lakini huwa napata ndoto mbaya na ninapostuka huwa nakuta neti imechomolewa.
Na hii imenitokea mara nyingi sana, nimefanya uchunguzi kuona kama huwa nachomoa mimi lakini nikagundua sio mimi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.