Audio ya tangazo la Ndorobo na Mangi

Audio ya tangazo la Ndorobo na Mangi

Nalipenda sana hilo tangazo, kila nikilisikia huwa nacheka kama vile sijawahi kulisikia.
Yaani dogo ana buku tu anaulizia vitu kibao dukani kwa Mangi halafu anamuuliza muuzaji kama anaandika orodha ya vitu! Feni panga boy, body spray na malapa.

Anapotajiwa jumla kuwa ni sh. 65500/= dogo anadai analialia eti ana buku, Mangi anamuambia dogo Ndorobo si afadhali achukue hiyo buku anunue gazeti ajipepee!

Tafadhali kwa mwenye hiyo clip aniwekee hapa nadhani wengi pia wanaipenda!
========

MANGI NDOROBO mp3

mbna haifunguki?weka vizuri
 
Wadau... hivi NDOROBO ni kitu gani?

Laiti kungekua na tunzo za matangazo bora!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom