Nisikilize vizuri. Achana na complex knowledge of business.
Biashara ndogo zinafeli kwa sababu kuu hizi mbili
1. Lack of passion kwa mwenye biashara, yaani ile drive ya muanzisha biashara
2. Lack of enough capital kumudu misukosuko ya biashara mpya.
Mengine yote mbwembwe tu
Ipo hv:
Wala usitumie akili kubwa sana kung'amua sarakasi za barua ya msajili kwenda KKKT.
Suala ni wanaCCM wameanza kujihami kuelekea uchaguzi mkuu 2020, maana tayari harufu yake imeanza kusikika. Usisahau watu wameanza kujiandaa uchaguzi serikali za mitaa 2019 na ndio harufu yenyewe ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.