Ndugu yangu kama uliamua kutenda wema kwa nia na roho safi basi nakusihi na nakuomba usirudi nyuma endelea na huo wema wako isipokuwa tu kipindi chote utakacho ishi nae huyo bint kuanzia sasa na kuendelea inabidi kiwe kipindi mtambuka kisheria nikiwa na maana upitie katika mamlaka husika na...
Yule ni kiboko aisee matukio yote ya vurugu anakuwepo sijui kahamishiwa wapi siku hizi
Kuna moja hiyo ilitokea ajali hapa mandela road saa nane usiku akawa na wale vibaka wa barabarani wakaiba na kuondoka halafu dakika chache akarudi kuzuia magari yasipite na kutafuta msaada wa kupeleka...
Napata picha sasa ya kijana mmoja hivii hapa mtaani Ubungo riveside sijui alipotelea wapi yule kijana kila akikamatwa anatoka tena bure kabisaa wenzie wana lalamika wametoa hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu zuri mno [emoji106] lakini katika yote kwa yote naomba nikuambie au nikusanue kitu kuwa katika nyanja hizo unaweza kuwa na mfumo imara wenye vifaa vya kisasa na pesa za kutosha lakini bado mahasimu wako wakaweza kutumia huo huo uimara wako pesa zako na vifaa vyako vya kisasa katika...
Kwa hayo maelezo yako nazidi kupata uhakika kuwa Senator John McCain alikuwa agent
Kwa maana kama ungesema aliipenda urusi mpaka kifo chake nigeitilia mashaka hii habari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujasusi ni uwanja mpana mno usio na wigo wala mipaka hivyo unapo zungumzia ubora wa CIA ni vizuri ukaeleza ubora wake upo katika vifaa watendaji au ukusanyaji taarifa {Kwa njia ya fedha au bure} nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana Jamii Intelligence inaomba tupate kuchambua hizo fikra hapo chini
KARIBUNI SANA
Unadhani ni hatua ipi itakayo fuatia baina ya Marekani na Urusi kufuatia lundo la Migogoro iliyopita na huu mgogoro wao unao endelea
Ikizingatiwa kwamba hapo awali palikuwapo na taarifa kuwa Urusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.