Baba Hassan
Member
- Mar 25, 2020
- 13
- 16
Habari wana Jamii Intelligence inaomba tupate kuchambua hizo fikra hapo chini
KARIBUNI SANA
Unadhani ni hatua ipi itakayo fuatia baina ya Marekani na Urusi kufuatia lundo la Migogoro iliyopita na huu mgogoro wao unao endelea
Ikizingatiwa kwamba hapo awali palikuwapo na taarifa kuwa Urusi ilitumia mbinu zake kuwa hadaa wamarekani katika uchaguzi mkuu ulio pelekea Rais Donard Trump kuingia Madarakani
#Je_ni_Kweli kwamba Rais Donald Trump anafanya kazi akiwa Under Control chini ya vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Marekani....?
#Je_ni_Huenda Rais Donald Trump ana Maslahi kwa nchi ya Urusi na kinacho fanyika nyuma ya pazia ni kuanzisha malumbano na migogoro huku wakiwa na maelewano yao kwa maslahi yao binafsi....?
Sent using Jamii Forums mobile app