Recent content by Baba Ethelda

  1. Baba Ethelda

    Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    Haahahha daah ubarikiwe kwa hii statement
  2. Baba Ethelda

    Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    Nampa pongezi nyingi A.J kwa kushinda pambano la leo...ila nilitamani sana kuona huyu Wladimir anamtandika kisawasawa huyu muingereza maana mda wote comentators walikuwa wanatamka Joshua Joshua as if pambano lilikuwa ni Joshua vs Joshua.
  3. Baba Ethelda

    Mafundi wa Tanzania mtabadilika Lini?

    Halafu kuna kitendo flani cha mafundi wengi hasa hawa wa vitu vya umeme mfano television, Ukimpelekea na kumwambia tatizo utamuona kaifungua halafu katoa kifaa flani halafu anaanza kukigongagonga na bisibisi sambamba na kukipuliza Sasa ukijaribu kuangalia anachokifanya hapo mara nyingi ni...
  4. Baba Ethelda

    Anjela Chibalonza

    Jesus Christ est la Chemin na Bokonzi nayo zinanibariki sana.
  5. Baba Ethelda

    Wasabato ujumbe wenu huu hapa

    Sometimes tunalalamikia sana lakin ukweli nikua hatumjui Mungu vzuri kwa sababu hatuna bidii ya kumtafuta, lakin hata tumtafutapo tumelenga zaidi kwa mahitaji ya mwilin kuliko rohoni ndio maana mwisho wa siku tunaishia kusemana na kusengenyana kwasababu hatumjui Mungu vzuri Ayubu 22:21 Mjue...
  6. Baba Ethelda

    Serikali ipige marufuku makanisa ya kilokole

    Daah sasa mbona Kanisa hapo halihusiki na chochote?? Wewe kama unataka si umzuie mkeo asiende huko lakin sio Makanisa yafungwe kisa mkeo hatulii nyumban coz kama Makanisa ya kilokole yakifungwa je kwa waumini wengine itakuwaje? Bro think twice i hope wewe ni mtu makini lakin jaribu kuwa mtu...
  7. Baba Ethelda

    Draw ya Klabu Bingwa ulaya 2013/2014 - Robo fainali

    Bayern Munich kelele nyingi kama Goliath tulia bwana Daudi(Man utd) aje na jiwe moja tuu kummaliza kisha akate kichwa chake(Amvue Ubingwa)
  8. Baba Ethelda

    Jifunze lugha za kigeni ndani ya JF

    Kihispania..Hasta la vista
  9. Baba Ethelda

    Mapya ndege wa ajabu Kagera-Watoto waanza kupumua kwa Shida na kuota vipele

    Piga risasi hao ndege kuna haja gani ya kusubiri mpaka hali iwe mbaya zaidi
  10. Baba Ethelda

    Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

    Kabisa mwache na ujinga wake
  11. Baba Ethelda

    Msaada: Kusafiri kutoka Tanzania hadi Ghana-Border kwa border

    Njia unayotaka kupita mpaka Ghana si nzuri kabisa kama wachangiaji waliotangulia wasemavyo huko kwenye nchi nyingi za Africa magharibi zina machafuko sana,na zaidi ya yote hiyo safari itakugharimu pesa nyingi kuliko kawaida kwa ushauri wangu fanya kufikiria gharama utakazo kutana nazo kabla ya...
  12. Baba Ethelda

    Msama Group Company ni janga kabisa

    Miaka 2000 iliyopita hakukuwa na Hummer wala V8
  13. Baba Ethelda

    Malasyia airline!Tb Joshua amalizia utabiri

    Sometimes inabid tujizuie kama wanadamu,kama unaona TB Joshua ni muongo na sio nabii kweli wa Mungu kwani ni lazima uanze kumhukumu?? Ukumu ni juu ya Mungu pekee whether he's wrong or right let God himself punish him but not from our views or opinions
Back
Top Bottom