Recent content by Ba Nido

  1. B

    Magenius wataona tofauti: Unaona nini

    Hiv kuna ukweli kua kuna vitu havionekan kwa macho ila kamera huwez kuvioa?
  2. B

    Haikuwa sahihi kwa Magufuli kugawa Maburungutu ya pesa hadharani

    kwan umeambiwa hy fedha imetoka sehem gani? na je kama katoa mfukon kwake.?
  3. B

    Lema: Kikombe kikijaa lazima maji yamwagike

    kwan ukawa lazima usiongee kwa busara.?
  4. B

    Waliotimuliwa UDOM waibuka, watoa ya moyoni

    Umekuja na wazo zuri sana. Mm nawashauri kwanza wasiwe karib n wanasiasa. Pili wale wenye vigezo waangalie utaratib wa kwenda A level. Wengine kama wakiwez waende NACTE wanaweza saidiwa kupata vyuo.
  5. B

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Tonatofautiana uelewa wa mambo. mm magufuri kanigusa hotuba yake inaeleweka hata wa sie hatujasoma.
  6. B

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Hakuna good governance ya kuficha ujinga. Huwez kua CEO ambaye hujui shirika lako.
  7. B

    Mashine ya MRI ya Muhimbili yaharibika tena, CT-Scan haijatengamaa!

    Kama mashine zililetwa used unategemea zisiharibike!! Na kwann wizara ndio ihusik na utengenezaj n sio muhimbil. Zinunuliwe mpya tuachana n kukarabat vitu used.
  8. B

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Jamiiforums mmetuangusha. sikutegemea mtakua shallow kias hiki. maan hakuna la tofaut na mitandao mingine
  9. B

    GE2015 UVCCM yamvaa LOWASSA, yakerwa na kauli zake za kutetea wabakaji, wamshangaa SUMAYE

    UVCCM mjitambue tunataka sera ya chama chenu. Achen mbwembwe. Samahan. Kama nawakwanza.
  10. B

    Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    inabid hili swala. liangaliwe upya. gwanda muhimu. Hiv m4c itaenda kweli?
  11. B

    Nursing Midwifery to Doctor of medicine!

    kama unavigezo unasoma. Tena kwa passmark nzur za a level
  12. B

    Nursing Midwifery to Doctor of medicine!

    kama unavigezo unasoma. Tena kwa passmark nzur
Back
Top Bottom