Nursing Midwifery to Doctor of medicine!

Nursing Midwifery to Doctor of medicine!

MNEKI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
992
Reaction score
1,311
habari za Leo wana jf....!..hivi mtu mwenye degree ya nursing midwifery anaweza kubadili taaluma na kusomea M.D...?....msaada!
 
Inawezekana kabisa,nothing impossible,kapige shule,MD five years unamaliza,au unaweza anzia AMO kwanza,it depends on your determinations
 
Daah..kweli ndoto zitatuua,yani nisome miaka minne Nursing then niongeze mingine mitano lengo tu ni kutimiza ndoto

Answer:Inawezekana mkuu
 
vp KUHUSU HESLB LOAN, NITAPATA KWELI?
COZ NILISHANUFAIKA KWENYE KWENYE NURSING.
 
Duuu yaaniii kakaa hatakamaa ndoto duuu nanga wa depo wee kweliii unandotoo hahahahhaha umeivaa babaaa
 
Inawezekana kabisa,ila daah! Mbona hamna tofaut kubwa kimshahar kati ya hizo fani mbili???

Hata ukiongeza hiyo MD utakuwa umejipotezea mda tu.

Au jina dokta unalitaka kwa udi na uvumba???

Bhac sawa timiza ndoto zako kwa kujipotezea mda badala ya kuona jinc ya kuongeza maendeleo yako!!!
Daah!! Aseee
 
Kuna watu wanabadili fani kabisa kutoka Degree ya Ualimu wa Sayansi(majoring Chem and Bios).
Na mambo yanakuwa good,kwa wao cwashangai coz there is a hug difference in their Salary.
 
Naomba kuliza apapa hiv muuguzi mwenye degree salary yake ni kama kias gan? Kwa anaejua msaada pls
 
We Sio Mzima Unatatizo!!
Watakuwa Wame Kuroga Ebu Nenda Sumbawanga Kacheki Hyo Afya Yako

Mbupu Koza!!Nzishe Sabika
 
huo muda unaofikiria kuupoteza uitwe Dr ni bora uuwekeze kwenye biashara utafika mbali.

otherwise ni bora ukasomee pharmacy tu, udaktari sifa za kijinga tu na kuleteana dharau makazini.
 
Jina Doctor sio cha maana sana chamsingi ni mshahara, mishahara karibia inafanana kwahiyo Usiwaze piga kazi
 
Nina diploma ya Education nataka kusoma Clinical Medicne Ushaur wadau

Unaweza,ili mradi hiyo diploma iwe ya Masomo ya Sayansi Chem,Biology au Physics.

Otherwise uwe vzr kwa matokeo ya O level in science subjects.
 
Back
Top Bottom