Recent content by Ba E's

  1. B

    JamiiForums Tanzania Simu haionyeshi picha wala kuplay video

    nahitaji Masada wenu wakuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania Simu haionyeshi picha wala kuplay video

    wanna jf habari za usiku huu simu yangu ni techno p5 na ina tatizo tajwa hapo juu haionyeshi wala kuplay video kwa picha au video nazotumiwa kupitia whatsup ,blue tooth etc naomba msaada kwa wataalam wa mambo haya ahsanteni
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume?

    Pia wanawake ni wengi sana kuliko wanaume kwa sababu wanaume ndo wanaoongoza kwa vifo kwa sababu ya kufanya kazi ktk mazingira ya hatari km migodini, uvuvi, vitani, uwindaji nk lkn wanawake walio walio wengi wanafanya kazi ambazo ni soft na stress free!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Midahalo: Fahamu kwanini CCM inataka ya wagombea

    Ukiona hivyo ujue wana hali ngumu na wanatafuta huruma kwa wananchi kwa kudhani kuwa mgombea wa ukawa hawezi kuongea, magufuli ndo hana kabisa cha kuongea na kushawishi amebakiza kututishia kwa mifano ya libya, misri na kwingineko eti tusifanye mabadiliko ya kukitoa ccm, wajaribu waone moto wake!
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini huwa havigombani?

    Duh umetisha, hata hivo hivyo haviwezi kununiana na km kweli umenuna seriously huwezi hata kutamani papuchi kwa ck husika
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kiwi cha Macho!

    Mzee tupatupa nyumba inaungua lumumba ww umejificha huku, tafadhali rudi ukaokoe jahazi!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wagombea waliokamatwa/kutuhumiwa kwa rushwa hadi sasa

    8. Nape Nnauye jimbo la Mtama
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga akamatwa na polisi kwa agizo la CCM

    Kuwa mwanacdm raha sana ona picha zilivyopendeza, magamba wataeleweka tu, pamoja na ufedhuli wao wa kila aina naamini tutashnda!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kwanini natetemeka sana?

    Da ndg pole sana una tatizo km langu, mi niko chuoni yaani cku za presentation kwangu huwa ni balaa, nimeshajaribu kuomba ushauri humu jf lkn pamoja na shauri mbalimbali nzuri lkn tatzo bado linanitafuna. Wkt mwngne hata lecturer akiwa anafndsha ile anapouliza swali akikuangalia tu hofu na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

    Nasikia Rage alichemka na kuzowewa vibaya hasa aliposema tanganyika haikudumu muda mrefu maana baada ya wajerumani kuondoka walikuja wakoloni. Watu wakamhoji kwani mjerumani hakuwa mkoloni? Noma sana haya maccm! Pia inasemwa kuwa kuna lecturers wawili walimchana rage na makamba bila kuangalia...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni mwanachama gani wa CCM anayeunga mkono UKAWA

    Hbr za leo wakuu, Baada ya watetezi wa katiba ya wananchi (UKAWA) kujitoa jana baada ya kuchoshwa na mwenendo mzima wa matusi yanayoendelea bungeni yakitolewa na wanaotaka itengenezwe katiba ya CCM kwa mgongo wa katiba ya wananchi. Napenda kujua kama baadhi ya wabunge wanaojitambua wa CCM...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kuwa CHADEMA wanaipenda Sana TBC

    Hivi kwanini watetezi wa ccm wengi wao ni tabula lasa, hakuna mwenye uwezo wa kujenga hoja walioko bungeni majanga wa nje ya bunge nao vitasa, inasikitisha sana!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ni shule tanzania imetoa maprofesa wengi zaidi

    Ni Tanga school ndo inaongoza kwa kutoa prof wengi!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Katiba: Kwa mara ya kwanza Dr Banna apaza sauti, na kuilaani CCM

    kumbe ulihamiaga ccm sixgates, au unamaanisha nini kusema tunawasubiri chalinze!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Arsenal Vs Bayern Munich. Tutabiri

    Arsenal 2 Bayern munich 1
Back
Top Bottom