Ellyson
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 1,714
- 405
Kweli papuchi moja haitoshi kabisaKwa sababu wanaume hatuliziki na papuchi moja. Ndo maana Kenya wamepitisha (mwaka jana) Sheria ya kuruhusu kuoa wake wengi kwa kadri ya utashi wa mwanaume.
Kweli papuchi moja haitoshi kabisaKwa sababu wanaume hatuliziki na papuchi moja. Ndo maana Kenya wamepitisha (mwaka jana) Sheria ya kuruhusu kuoa wake wengi kwa kadri ya utashi wa mwanaume.
kibaiolojio mwanuume anatoa mbegu X na Y mwanamke anatoa X tu, ili kutengeneza mtoto mbegu za mwanaume zinaungana na mwanamke, yaani X na X hapo unapata mtoto wa kike au X na Y hapo unapata mtoto wa kimue.
Life span ya mbegu X ni zaidi ya 72hrs ikisubiri yai la mwanmke na life span ya Y[ambazo hutengeneza mtoto wa kiume ] ni 48hrs kwahio unaweza kuona mbegu ya kike yaani X ina chance kubwa ya kusurvive.
VERY SHALLOW!
Mimi naelewa menstural cycle vizuri.
Naelewa lini mke wangu anaweza kupata mimba.
Danger days ni btn 10th and 18th day.
*10th-13th, sperms can wait until ovulation day 14.
*15th-18th ovules can wait for sperms.
Sasa niambie, how does expiry time come in,
IF YOU DO IT ON THE OVULATION DAY (14th day)?
Nikwambie nini wakati niko shallow? Subri wanaojua au wewe unaojua waambie wengine.