Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

Yaliyojiri SAUT-Tawi la Tabora

Wasio Na akili nzuri njooni huku kunamada ya kujadili. Mie naondoka sio mahali pangu hapa kujadili
 
Nasikia Rage alichemka na kuzowewa vibaya hasa aliposema tanganyika haikudumu muda mrefu maana baada ya wajerumani kuondoka walikuja wakoloni.
Watu wakamhoji kwani mjerumani hakuwa mkoloni? Noma sana haya maccm!
Pia inasemwa kuwa kuna lecturers wawili walimchana rage na makamba bila kuangalia usoni, ndipo makamba akalazimika kubadilisha mjadala jambo ambalo wanazuoni waligoma kabisa na wengi kutoka ukumbini!
 
Wewe Ni mwehu

wewe mi kichaaa

Mh Fatma mwasah yuko dar Kikazi wiki mbili

hivvi Bavicha Gongo mtaamini lini kuwa inaharibu akili?

Ukichaa wako na mtambo wenu wa kutengeneza uongo utawaua.huu uzushi mpelekee mama yako na mkeo

Mods ondoeni huu uharo haraka sana

Wewe ndio MWEHU kabisa hiyo siku ya Mdaharo ulikuwa nae chumbani? leo hii Kikwete kaenda Dodoma je watu wakikuambia kaenda Dodoma na kuelezea aliyoyafanya huko wewe utawatukana na kuwaambia Kikwete mbona yupo Dar tangu Juzi, elewa maana ya Utandawaza kiielectronic na kiusafiri sio unakuwa na mawazo ya enzi ya UJIMA nyambafu.
 
Hawa ccm usalama wa taifa wanafundishwa mbinu za medani za karne iliyopita yaani za enzi za mwalimu wakati sasa tupo karne na kikwi (millenium) mpya. Nawashauri ccm wafanye utaratibu wa kureview syllabus ya usalama wa taifa iendane na wakati. Kizazi hiki hakitishiwi nyau. Ndo maana baadhi ya weledi wanahoji mfumo uliopo wa kuteua viongozi na kuwapa mamlaka ya kuongoza wananchi kama hawa marc, madc na divisional officers integral party yao nini katika mustakhabali wa maendeleo ya taifa kama siyo kuzima potential ideas kutoka kwa jamii. Hivi watu wana mawazo ya kuongoza watu kama ya wakai ule ambapo population ilikuwa na watu 8,500,000 ambao asilimia 90 walikuwa hawajuio kusoma wala kuandika. Leo watu wako 45,000,000 na kati yao hao zaidi ya mililion 30 wanjua kusoma na kuandika na kati ya hao milioni kama 3 wana elimu ya chuo kikuu. Bea careful maccm na magamba muache kuchokoza nyuki wakiwa kwenye mizinga ya nyuki
 
Sasa Usalama wa taifa wamekosea nini hapo? Hivi RSO au DSO si wapo kisiasa tu wale

Yaani mtu akiona DSO anaona kama ndio Usalama wa taifa yenyewe wakati hao ni kama wapo kwa ajili ya uhusiano tu
 
Back
Top Bottom