Hbr za leo wakuu,
Baada ya watetezi wa katiba ya wananchi (UKAWA) kujitoa jana baada ya kuchoshwa na mwenendo mzima wa matusi yanayoendelea bungeni yakitolewa na wanaotaka itengenezwe katiba ya CCM kwa mgongo wa katiba ya wananchi.
Napenda kujua kama baadhi ya wabunge wanaojitambua wa CCM akina Kangi Lugora, Deo Filikunjombe, Luhaga Mpina, Esther Bulaya, Abdala Mtutura, je na wao wameamua kuwasaliti wananchi au wamo bungeni kama passive listeners?