Recent content by B52

  1. B

    JamiiForums Tanzania ITV, Mengi to be dealt with soon

    Nimekubali kweli wewe ni KANDAMBILI-2, acha wadau waendelee kukukanyagia.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Laughter series: Press Release from VATICAN

    imetulia mjomba!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Shigongo kwa Ze Original Komedi

    Unaturudisha kule kule kwa mafisadi. Kwanini Shigongo atoe ushauri baada ya yeye nae kuoshwa, alikuwa wapi siku zote kutoa ushauri huo. Na pia yeye anavyowachafua watu kwenye magazeti yake mbona wasio na pa kusemea wewe hujawatetea??
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe philosophy

    Hii inamfaa zaidi Chenge!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    Kama ni kuchafuliwa wamechafuliwa watu wakubwa wengi mno duniani! Ni usanii tu wa kiujanja ujanja. Mfano kuna picha ilisambaa sana miaka miwili iliyopita ikimuonyesha Osama akimla tigo Bush, kwa kuwa ilionekana ni usanii tu hakuna mtu duniani anahangaika na hilo. Sasa kama picha yenyewe kuhusu...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Anatafutwa na polisi

    vipi bado hajapatikana tu? tupe updates mzee
  7. B

    JamiiForums Tanzania Laughter series: Lesson from the Arabs

    ebana eeeeeeeh hii kali...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Hatutofanya makosa yale ya muungano wa tanzania

    Sio faida za Nyerere, hata yeye alirithi toka kwa Waingereza!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kuna watu wanasema kuna kero za muungano, mimi nafikiri kuna kero ya Zanzibar!!! Kwanini tusiachane nao wajue hamsini zao?? Tunachotafuta ni nini hasa? Tutaendelea kuwabembeleza mpaka lini? Hiki kizazi cha wazee wanaong'ang'ania muungano kitapita muda sio mrefu, then tutasahau yote haya!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukipigiwa simu pokea vinginevyo!!

    Hii kali mzee
  11. B

    JamiiForums Tanzania The road towards 2010 Elections

    Katika hao uliorodhesha hakuna hata mmoja
Back
Top Bottom