Anatafutwa na polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anatafutwa na polisi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kwetunikwetu, Mar 27, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Waungwana naomba mtusaidie kidogo kupambana na wizi!! Ndg. SALIM SHABAN LOSSINDILO mkazi wa Kiwalani Dar es Salaam anatafutwa na Polisi kwa kosa la wizi wa kuaminika wa kiasi cha tsh. 5,000,000/-

  Jina kamili: SALIM SHABAN LOSSINDILO
  aka: Zungu, Baba Warda, Samuel
  Kosa linalomkabili: Mnamo tarehe 15 October 2008 alijipatia kwa njia za undanganyifu kiasi cha tsh. 5,000,000/- kama malipo ya awali kwa ajili ya gari aina ya Toyota Corona Premio, eneo la Kisutu mjini Dar es Salaam
  Wajihi: Mrefu, mweupe, mnene kiasi
  Kabila: Mpare
  Umri: mtu wa makamo (39 yrs-45yrs)
  Makazi: Mkazi wa Kigilagila (mke mkubwa) na Kiluvya (mke mdogo)
  Kazi: Anajishughulisha na kazi za clearing and forwarding haswa udalali wa magari. Hupendelea kushinda maeneo ya Kisutu karibu na Zanzibar hotel
  Kwingineko: Hujishulisha pia na kazi hizo Arusha (ana mdogo wake wanafanya wote shughuli hizo anaitwa Ali Chicago), Namanga, Horiri na Horohoro.  RB: CD/RB/1173/09
  Case no: CD/IR/376/09
  Tafadhali umuonapo mtu huyo au kupata taarifa zake tusaidie kutoa taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilicho karibu nawe au piga simu namba 0754 998029

  Tutashukuru kwa msaada mtakaotupatia waungwana!

  Once tukipata picha yake tutaiweka hapa ili iwe rahisi kwa asiyemfahamu kwa jina aweze kumtambua
   
  Last edited: Mar 27, 2009
 2. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2009
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hakuna pichaa yake????
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Duh
  Hayo malipo aliyopewa hayakufanyika ofisini? hakuna mkataba kati ya mnunuaji na muuzaji?
  lete picha tumsake huyu bazazi...
   
 4. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mkataba plus Risiti zote zipo. Once tukipata picha tutaiweka!
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Mar 27, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Simply fanyeni hivi:

  1. Kamata wake zake wote na wahoji watasaidia kujua mme wao alipo... Polisi wanajua nini cha kufanya katika hili

  2. Kama ana kampuni ya Clearing and Forwarding si rahisi kwenu? Nenda kwenye ofisi yake, chukueni mali zilizopo kwenye ofisi yake (au ni dalali wa forwarding? Manake kama ni hivyo basi hili ni tatizo, haiwezekani kununua gari pitia kwa dalali asiye na ofisi kwani anytime anaweza kufanya lolote na kumpata inakuwa tabu!)
   
 6. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Huu ni uvunjifu wa haki za binadamu. Wanaweza wasijue aliko hata wao.
   
 7. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tunajaribu kutumia kila option ambayo ni halali
   
 8. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kuna yard moja ya magari ipo Chole road alikuwa akifanya kazi hapo, hajaonekana hapo tangu november 2008
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Mar 27, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Hakuna anayejua siri ya mtu isipokuwa mwandani wake (mke au mme). Hii kuwahoji si kuwaweka ndani bali kuutafuta ukweli wa mambo.

  Sema tatizo bado lipo kwa polisi wetu, kuhoji wao hukuchukulia ni kutesa! Vinginevyo, wakitumia psychological means wanaweza kuupata ukweli wa alipo jamaa kwa kutumia wake zake!
   
 10. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Bado tupo pamoja jamani mtusaidie kumpata Salim. Alishawahi kupiga 20,000,000/-kwa jamaa mmoja anafanya kazi TRA adjacent na Central Police, then akapiga jamaa mwingine 9,000,000/- anafanya kazi airport dsm. Hizi zote alishalipa baada ya kukamatwa na kuwekwa ndani pale central. Sasa ndio anatafutwa kwa hizi 5,000,000/-, mtusaidie
   
 11. B

  B52 Member

  #11
  Apr 13, 2009
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi bado hajapatikana tu? tupe updates mzee
   
 12. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #12
  Apr 13, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Pole sana. Unaweza pia kutumia magazeti katika kumsaka huyo jamaa. Anafikiri kuiba 5,000,000/- kutamsaidia kitu wakati anaishi kwa kujificha? Ila ukimpata either mshitaki kwa kosa la madai na jinai au la madai tu ili urudishiwe hizo hela na gharama zingine za usumbufu.

  Ikiwezekana ana kutunza risti za hizo gharama ili kama utamstaki kwa kosa la madai umshitaki kama 'specific damages' na siyo 'general damages'.
   
 13. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #13
  Apr 13, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Thanks kwa ushauri, utafanyiwa kazi
   
 14. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #14
  Apr 24, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Duu kumbe ni mzoefu namna hiyo? Poleni sana, ila mtampata kama wengine wanavo mpata, na pengine tumieni uzoefu wa hao wengine walimpataje?
   
 15. MawazoMatatu

  MawazoMatatu JF-Expert Member

  #15
  Apr 26, 2009
  Joined: Sep 6, 2008
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Alitumia hizo pesa kupanda mbegu DECI alipovuna akarudisha pesa ya wenyewe just thinkin kwikwiwkwi!
   
 16. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Wandugu wapendwa,
  Ningependa kutoa feedback kuwa Salim amekamatwa jana majira ya saa 4 usiku na kupelekwa Central police mida kama ya saa 6 hivi usiku huo huo. Tunashukuru kwa wote waliochangia mawazo ambayo mengine tulitumia ipasavyo.

  Thanks.......!
   
 17. JosM

  JosM JF-Expert Member

  #17
  Jun 4, 2009
  Joined: Oct 11, 2008
  Messages: 684
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwetunikwetu,hongera sana ndugu yangu kwa kazi kubwa uliyo ifanya kuanikisha huyu jamaaa kukamatwa.na imani sheria itachukua mkondo wake.
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Je huyu Ali Chicago ni yule muuza magari ana yard pale round about ya hapa nyumba zilikuwa za reli (barabara ya kuelekea Kilwa na hii ya Kamata kuelekea Kariakoo?? Nafahamu nyumbani kwa Chikago, huyu mwenye yard ila sijui kama ndiye Ali Chikago.
   
 19. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  No sio huwa huyo. Huyu Ali Chicago anafanya biashara zake Arusha na Namanga. Pia Ali Chicago ni small scale dealer ie gari moja au mawili at a time. Hana yard kabisa.

  Nadhani nimeeleweka mkuu
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...