Recent content by b wence

  1. b wence

    Unakumbuka breakup yako ya kwanza?

    Mimi hata sikuumia maana nilipanda mti kisha ndo nikakata mti
  2. b wence

    Wanaume wengi ni mabubu kitandani mjiongeze

    Kwani mkuu nikiwa naendesha gari, ni mm natakiwa nitoe mlio au ni gari?
  3. b wence

    NAHITAJI KURUDISHA DOCUMENT ZANGU NA FILE ZANGU .

    Mkuu hiyo picha ya pili ndo file gani..
  4. b wence

    Majina yaliyokaa kiuzinzi uzinzi

    Sasa mbona km mumemaliza majina yote..lipi ni lipi sasa[emoji23][emoji23]..naona kila mtu anajibu kulingana na ALIYEKUTANA NAE..#mariam
  5. b wence

    Maongezi ya Mke na Mume: Nani yupo sahihi hapa?

    kinachozungumzwa hapo sio kwamba mwanaume amekataa majukumu yake au hajui wajibu wake...lkn je mwanamke yupo tuu kwa ajili yake peke yake au yupo kwa ajili ya mumewe pia? kwann vyake viwe vyake na vya mumewe ndo viwe vya wote? basi huyo mume kwann aoe,si angezaa tuu na akawa anamlipa? jukumu ni...
  6. b wence

    Maongezi ya Mke na Mume: Nani yupo sahihi hapa?

    vyovyote msemavyo lkn uhalisia ndio huo kwenye jamii yetu...cha mume ni chetu lkn cha mwanamke ni chake na jamii yake...wengi wapo hivo...wanatofautiana tuu ukubwa wa tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. b wence

    Sala ya Baba Yetu inasema “usitutie majaribuni”. Je, Mungu anaweza kufanya hivyo?

    tatizo ni kiswahili chetu kinashindwa kutofautisha..lkn kizungu kiko sawa kuna "temptation" na "test" .... MUNGU anaruhusu "test" kwa maana km utafeli hiyo test hauwezi ingia dhambini,ila unakuwa umekosa nafasi ya kupanda daraja...lkn temptation ambayo huifanya shetani,lengo lake ni kukuingiza...
  8. b wence

    Bodaboda na wake za watu

    kwa hy inavyoonekana mwanamke ukimsifia tuu,anakupa papuchi[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. b wence

    Kila mwanamke ninaekua nae, tukiachana tu anaolewa

    nilipoisoma tuu kichwa cha habari..nikamuelewa muandishi nini anataka.. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. b wence

    Picha: Muvi bora zilizotoka mwaka 2018; umeangalia zipi?

    Operation red sea..mm hizi ndio muvie zangu...huwa sifurahii movie za kisayansi na computer nyingi..japo najua muvi ni uongo lkn hizi za kisayansi naona zimezidi,naona km naangalia katuni tuu..
  11. b wence

    Mapenzi yako ni kina gani? (How deep is your love?)

    Mkuu umeandika habari za mimba..sijaona km iliishia wp baada ya kufungwa au ilitolewa,au alishajifungua kabla? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. b wence

    Ndoa yangu inakaribia ila michango kutoka kwa marafiki hakuna

    mimi sikupokea mchango wwt kutoka kwa rafiki zangu..sio kwamba ni tajiri,wala si kwa sabb sitoagi,wala si kwa sabb nina roho mbaya n.k...bali kwa sabb nilifikiria nikaona mm nfo naenda kufurahi,kwann nisumbue watu..hivo sikugawa kadi za michango.ila niliweka wazi "mtu akitaka kutoa na...
  13. b wence

    Kuna wanawake usiwadanganye utajuta kukutana nao!

    Tatizo la kumpeleka demu ghetto kwako..
Back
Top Bottom