Recent content by AzimiolaArusha

  1. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi sana wanaojitokeza katika ziara za Rais Dr Magufuli na kumshangilia zinatoa picha gani kiutawala

    Watz tuna jembe sana, rais anafanya kazi, yaan anachapa kazi kwel kweli
  2. A

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa na Waraka wa Leo

    Leo kwenye makanisa yote ya KKKT mashariki na pwani umesomwa waraka ambao ni kama umemsafisha Askofu Malasusa na wakati huohuo kama halmashauri kuu imekiri kuwa alichofanya Malasusa ni kosa. Sasa najiuliza kwanini Askofu hakuwaomba radhi tu Maaskofu wenzake badala ya kuendelea na misimamo...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awaambia Waandishi wa Habari wawe makini, hawako huru kihivyo...

    Mbona sioni ile option ya kutoa comments kama ilivokuwa jana tulipokuwa tunamwangalia Nape
  4. A

    JamiiForums Tanzania Why me? Kila mahusiano napitia magumu

    Tafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na Haki yake, na hayo mengine yote mtazidishiwa PIA Mtwikeni yeye fadhaha zenu zote, maana Yeye ni Mtulivu na Mnyenyekevu, atawakweza kwa wakati wake PIA Bwana asipoujenga mji waujengao wafanya kazi Bure
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Serekali wanakaangwa kwenye chungu kisicho na mafuta!

    Mungu hawezi kuingilia kati kitu ambacho ww mwenye ndo ulikipenda, labda utubu kwanza kuwa ulifanya makosa, sasa sie ndio tumechagua wabunge wengu wa ccm na rais wa ccm so mvumilie tu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Serekali wanakaangwa kwenye chungu kisicho na mafuta!

    Tulikuwa na zoezi la kuhakiki watumishi hewa, baada ya kumaliza tumenunua mdege mpya 2 tena ka hela zetu za ndani, hivyo endeleeni kusubiri serikali inawafikiria tena sana msiwe na wasiwas
  7. A

    JamiiForums Tanzania Amini hakuna mwanamke wa peke yako karne hii

    Huwezi kumiliki kiti cha daladala peke yako, unalipia unapanda ukifika kituoni unashuka anapanda mwingine na kadhalika
  8. A

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata anayevuruga ndoa na familia yangu kwa ujumla

    Kaka usifanye chochote, usifanye maamuzi yeyote ukiwa na hasira
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi wanapenda mapenzi kinyume na maumbile?

    We must change, hizi tabia za kuona kwenye movies ndo shida yake hii, Mungu aturememu na kutusamehe
  10. A

    JamiiForums Tanzania Usimkubali wala kumvumilia mwanaume asiye na pesa

    Tatizo unafikiri kwenye ndoa watu wanakosana kwa ajili ya kusalitiana tu, sio hivo kaka na ukiwa na mtazamo huu ur lost, kwenye ndoa kuna kupishana kwingi sana, hata usipomtomba mkeo vizuri ni shida, uvumilivu kusameheana na kuchukuliana ndio msingi wa ndoa, ndoa ni huduma kaka, u must be...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

    Asilimia kubwa ya wachangiaji wanamlaumu tu mtoa mada, tunanyoosha kidole kimoja wakati vinne vinatuelekea wenyewe, hivi maomba kuuliza: mtu anayeua kwa kuchunja na mwingine kwa kunyonga na wengine kwa risasi na mwingine kwa sumu, na mwingine kwa kuloga wote ni wauaji, vivo hivyo, ukitombwa na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mzigo umetema: "WADA database hacked by Russians" safi sana

    Ahaaaaaaa, haya bana, na bado tunataka tuje na azimio la Chato, mtanyooka tu
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mzigo umetema: "WADA database hacked by Russians" safi sana

    Sidhani kama kuna mtu atakuelewa mm mwenyewe sijakuelewa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake maarufu wenye mambo ya ajabu Bongo

    Ina maana huyu ni snura mushi na huyo aliyemkalia ni mtoto wake au[emoji15]
  15. A

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa Twaweza: Watanzania 96% wanampongeza Rais Magufuli

    Reseach is all about sampling, so tusubiri kile ambacho data haziwezi kureflect
Back
Top Bottom