Recent content by Azim Sokoine

  1. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Huyu mwanajeshi amepata wapi hizi fedha za kuinunua Namanga Makangira?

    Dah hawakuridhika na kodi ya wananchi wanayotafuna wakaamua kutaka kuwapiga tena hela za fidia.
  2. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

    Huyu jamaa hajaipiga kweli.
  3. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Deal la Eze likikamilika Martilnelli tupa kule takataka tumemvumilia vya kutosha.
  4. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

    Umri wa Muliro wa kustaafu umefika kwanini bado anaendelea na kazi?
  5. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tumecheza vibaya sana first half.
  6. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Hiyo Billion kumi 10 ametoa Jumanne kila kitu kinajulikana mchezo wa kumuita Abdallah , Dullah ulianza zamani

    Unakwepa ulipaji wa kodi wa bilioni 100,then unakichangia Chama bilioni 10 mambo yanaisha hakuna wa kukusumbua,biashara imeisha.
  7. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Challenge: Ulipata GPA ya ngapi Chuo Kikuu?

    4.5
  8. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Madueke ni takataka utapeli mwingine Arteta anauendeleza.
  9. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Dira ya 2050: Rostam Azizi asisitiza umuhimu wa amani na utulivu kuwa ndiyo msingi wa maendeleo

    Pumbavu zake,amani na utulivu wakati kikundi cha watu wachache wanakula minofu ya nchi
  10. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Nyie ambao hamtaki uchafu kwenye mapenzi, mnawaandaaje wapenzi wenu?

    😆nakubaliana na wewe mkuu,nilisalimiana na mrembo mmoja kwa kushikana mikono tu baada ya muda tukaachana akanitext ameloa baada ya kusalimiana kwa kushikana mikono tu.
  11. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Mam.ae yaani nyongeza tu watu wanaivutia mkopo,ajira za serikalini ni utumwa mishahara ya kifala sana usipojiongeza nje ya box unakufa masikini dah.
  12. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta ni tapeli tu magalasa anayochukua chelsea anapiga hela ndefu ni dalali.
  13. Azim Sokoine

    JamiiForums Tanzania Kesho nachukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Ruangwa

    Nimejiandaa kwa hilo mkuu,nitakuwepo na walinzi wa kutosha.
Back
Top Bottom