Recent content by Azer Zepha

  1. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Nlikuwa nayo tena nlikuwa na kikosi cha iconic karibia wote bt now sim yangu haisupport
  2. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania eFootball Special Thread

    Game ni hii
  3. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    ilopita ni mbaya sana kulinganisha na hali iliyopo kwa sasa
  4. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    We mse...ngerema hauna ustaarabu na dini za watu
  5. Azer Zepha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    Hii ndo story yangu nzuri nliyoanza nayo mwaka ...Big shout out to Patrick
  6. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Zipi ni historical series au historical single movie kwa mwaka 2023- 2024?

    Wadau wa series na single movie kwa upande wangu Mimi ni mpenzi wa historical series na historical single movies .. Kama kuna unazozifaham za mwaka 2023-2024 unaweza list ili ambao hatuja watch nasisi tupate uhondo
  7. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Yan kuna watu wana ka upumbav au kaujinga flan ivi yan badala ajibu kwa ustaarabu kilichoandikwa anajib shit
  8. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Bora tyu usinge reply hizo dharau bro.....kwan we unachotaka umekipata
  9. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Sasa unanishauri au unanisimanga
  10. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Ipi kozi bora kati ya Computer Engineering na Civil Engineering?

    Nimepata nafasi ya kuchaguliwa na vyuo viwili hapa Tanzania chuo cha kwanza nimepangiwa kusomea civil engineering na chuo cha pili nimepangiwa kozi ya computer engineeringi. Wana JF nipeni ushauri kati ya kozi hizo mbili ipi ni marketable?
  11. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Samahani, huyu Mtu ni nani?

    Ana kishundu mchomoko
  12. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa bongo flavor ambao ni bora kwako kwa muda wote

    Sawa mzungu
  13. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa bongo flavor ambao ni bora kwako kwa muda wote

    Utakuwa umeachwa sio bure
  14. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa bongo flavor ambao ni bora kwako kwa muda wote

    Funguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
  15. Azer Zepha

    JamiiForums Tanzania SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

Back
Top Bottom