Recent content by Azarel

 1. Azarel

  Je, ni kweli Wasanii wa Congo wapo juu kwa ushirikina?

  Ulimuona JB Mpiana akimeza chura? Koffi Olomide akioga mikojo? Una ushahidi kuwa Fally Ipupa alimuua mama yake na si kwamba ulisikia tu ukaamini? Una uhakika mama yake aliuawa na Fally Ipupa na si kwa ugonjwa? Itakuwa vizuri na kuokoa muda kama ukijubu straight away na sio kuleta story ndefu...
 2. Azarel

  Je, ni kweli Wasanii wa Congo wapo juu kwa ushirikina?

  UONGO MTUPU Wakongo muziki ni jadi yao, Ni utamaduni wao, ni kazi yao na ni sehemu ya maisha yao Halafu ukweli ni kuwa wana asili ya sauti nzuri na wanapenda sana kuifanyia mazoezi sauti zao hata wakiwa katika matembezi au shughuli zingine za kawaida Siri ya muziki wao kufanya vizuri ni...
 3. Azarel

  Diamond Usiwapuuze wanaokuandama sasa, HAO sio shilawadu au Konde gang. Chukua hoja zao

  Kushindana na Kigogo ni kazi ngumu sana
 4. Azarel

  Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

  Mke wangu ataniquote hapa
 5. Azarel

  Je Wajua Wanawake wanazingatia yapi kwa Mwanaume Mwanzoni?

  Habarini Wadau, '' Hey, Just check on your shoes only'' hayo ni maneno ya Mzazi mmoja Mmarekani akimwambia mtoto wake wa kiume aliyekuwa anakwenda kuonana na Mchumba wake. Nikajiuliza kwanini hakuzingatia mavazi mengine au muonekano wa sura au nywele za Mwanae ila viatu tu. Nikaja kujuzwa na...
 6. Azarel

  Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

  Alikuja kiongozi mmoja wa CCM kutoka DSM wakati wa kampeni wakati anaongea kijana mmoja wa Arusha akamwambia '''Aisee hatutaki LOMONI nyingi, we ng'oa zako'' Hakuelewa chochote na hata wenzake wakawa wanaukiza wamesemaje? Lomoni ni nini? Kumbe Lomoni ni Maneno mengi...
 7. Azarel

  Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

  Hii ndio bara la Arusha, nilimkuta huyu mrembo moyo ukadunda kudung kudung Kwakweli alikuwa na umbo zuri sana, wallah vile
 8. Azarel

  Rais Samia, tunaomba uliangalie upya suala la vifaa vya ujenzi

  Kweli kabisa hili liangaliwe kwa umakini, gharama za vifaa vya ujenzi zimekuwa juu sana
 9. Azarel

  Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

  Matusi hayaruhusiwi, utakula ban we jifanye kutusi kimarekani unafikiri Mods hawaijui hiyo lugha
 10. Azarel

  Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

  Atakayeniquote anawashwawashwa, kwasababu sioni sababu yoyote ya kuniquote
 11. Azarel

  Challenge: Vocha ya 10,000 kwa mwenye reply/comment itakayokosa kujibiwa

  Hiyo ni O kama O au ni tundu
Top Bottom