Recent content by Ayubu9

  1. A

    Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Dah! Mkuu, naomba link ya track ya LWP (Wanaokwenda Jela) ikiwezekana. Nitumie kwenye email thickejames@gmail.com tafadhali.
  2. A

    Yanga Vs Azam

    Yanga wapeleke mindumu yao kwao. Mpira nidhamu bhana!
  3. A

    Airtel vp?

    Tatizo la kukosa huduma si lako pekee. Hata mie nilikosa mawasiliano ya internet kupitia Airtel, nikaamua kutumia mtandao mwingine. Line yangu ina miaka miwili.
  4. A

    Mama mkwe mpiga chabo

    Hahahaa! Hiyo kali!
  5. A

    Kesho Mtanzania watatokaje?

    Mi naona hii ni "racket" nyingine ya CCM ya kujiweka sawa. However, they must have missed the bus. Wanajivua gamba wakati bado wana sumu?
  6. A

    How to use JamiiForums effectively

    Hello wana JF. So nice to be in here!
Back
Top Bottom