Wizara ya kilimo kupitia ofisi ya katibu mkuu walitoa taarifa kwa umma tarehe 4/6/2019 kuhusu kufanya maboresho katika Sera ya kilimo ya taifa ya mwaka 2013 na mwisho wa kukusanya mchango ni tarehe 30/6/2019. Hivyo na waasa wadau na watanzania ambao wanapenda kutoa mchango wao katika maboresho...
Na,
Eng. Ayubu Massau
Morogoro
Habari Mheshimiwa Tundu lissu
Nianze kwa kukupa pole kwa madhira ya kupigwa risasi, Jijini Dodoma, tarehe 7 septemba 2017. Hakika kila binadamu aliyeumbwa kwa nyama aliguswa na kukuombea kwa Mungu upone haraka , kwa maana ni madhira...
SASA NIMEELEWA MWONGOZO ( BLUE PRINT) YA TANZANIA YA VIWANDA YA RAIS MAGUFULI ,WATANZANIA TUMUUNGE MKONO.
Ndugu ,
Watanzania Na Wanabodi
Huu ni mwaka mpya wa 2018, ambao sasa ndio mwezi wa nne umeanza ukiwa mbichi kabisa , lakini mwaka huu unasogeza mbele na kutuelekeza tukiwa...
MFAHAMU GWIJI LA MCHEZO WA MPIRA DUNIANI
Edson Arantes do Nascimento( PELE)
Alizaliwa tarehe 23 oktoba 1940, anatajwa kama mchezaji wa bora wa vipindi vyote katika historia ya mchezo wa soka.
Mwaka 1999, alipigiwa kura na kuwa “mchezaji bora wa karne” na Shirika la International Federation...
KAULI MBIU YETU YA TANZANIA YA VIWANDA IMEJIFUNZA NINI KUTOKA CHINA.
SEHEMU YA NNE.
Mafanikio Ya China Katika Soko.
Swali ambalo tunatakiwa tujiulize je china imefanikiwa katika soko la bidhaa zake baada ya kufanikiwa katika Mapinduzi ya viwanda? Jibu ni NDIYO na HAPANA
Sababu za NDIYO
1...
KAULI MBIU YETU YA TANZANIA YA VIWANDA IMEJIFUNZA NINI KUTOKA CHINA.
SEHEMU YA TATU
Je? Kulikuwa Na Utofauti gani Katika Jaribio La Nne Kuitafuta China Ya Viwanda.
Jaribio la nne ,
Mapinduzi ya viwanda nchini china,mnamo mwaka 1978 chini ya Uongozi wa Rais Deng Xiaoping,china ilikataa...
KAULI MBIU YETU YA TANZANIA YA VIWANDA IMEJIFUNZA NINI KUTOKA CHINA.
SEHEMU YA PILI
Nitajaribu kuelezea namna china walipofika kwa Uchambuzi ulioegemea katika uchumi na kuifanya china ifanye maajabu makubwa katika Mapinduzi ya viwanda, Vilevile tutaona namna nchi nyingi zilivyoshindwa katika...
wakuu
natoa muendelezo wa andiko langu hili lenye lengo la kufikirishana , ni namna gani wenzetu walipiga hatua , nimeigawanya makala katika awamu nne ili kuwapa wadau kusoma kwa kina kwa mustakabali wa Taifa letu
KAULI MBIU YETU YA TANZANIA YA VIWANDA IMEJIFUNZA NINI KUTOKA CHINA.
SEHEMU YA KWANZA
Ndugu ,
Watanzania na Wanabodi
Huu Ni Mwaka Mpya Wa 2018, Ambao Ndio Umeanza Ukiwa Mbichi Kabisa , Lakini Mwaka Huu Unasogeza Mbele Na Kutuelekeza Tukiwa Tumebakiwa Na Miaka Takribani 7...
Jaribu kuandika kitu chenye uhakika na sio kupotosha Dr magufuli alisema nanukuu " Mimi nafikiri naweza kuwa sio mwanasiasa mzuri, maana sipendi siasa kwenye mambo yasiyo na siasa, nitawaletea baraza dogo la mawaziri litakalo kuwa na wachapakazi na ole wake katika watumishi wa serikali na...
Paschal Mayalla
nilimfatilia kwenye moja ya mjadala wa asubuhi kuhusu watia nia ndani ya ccm, na kuhusu upendeleo wa waandishi wa habari kwa kupewa chochote kitu na watia nia wenye ukwasi wa kutosha, hakuonekana yuko kwa mh lowassa bali alionekana yuko kwenye misingi ya kazi yake , nafikiri...
Safii sana kiongozi bora hujipambanua kwa historia ya kazi zake za nyuma na kiongozi ovyo hujipambanua kwa usanii wake ndani ya jamii
heko dr magufuli, watanzania tunaoipenda Tanzania tuko nyuma yako.
well said! Magufuli ni mgombea kupitia ccm ambae , atafanya watanzania wanachotaka na sio genge la wahujumu uchumi wanavyotaka, kwa sasa ccm imeamua kujibrand upya na kurudia misingi wakati upinzani wao wakiharibu hata kabla ya kushika dola
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.