Tathimini: Siku 10 za kampeni ya Dr. John Magufuli

Lands mjue nyie ccm siyo wananchi wote wanaofurahishwana rundo la mafisadi tena wawazi kabisa mlio endelea kuwakumbatia bora uyo lowasa nifisadi peke yake ukawa hatatushinda kutimiza ya katiba yetu je nyie ikiwa kikwete alishindwa kukemea maovu ya serekali take na watu kugandamizwa je fisadi magofuli ataweza mana nae mwizi Wa mabikioni ya pesa za Barabara atamkemea nani ikiwa chama kimejaa wezi tele mbaya zaidi hadi maraisi Wa awamu zote nao walikuwa wezi ndio wezee Wa chama mnazani atatunga katiba yake ndio imuongoze akitaka theluthi tulio baki tumpe kura zetu aanze sasa kuwataja mmoja mmoja jukwaani nakusema misimamo yake kwao nakushindikiza chama chake kiwaondoe chamani ndipo tutampa
 
TATHMINI; siku 10 za Kampeni ya Dr John Magufuli Azidi kung'ara

Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dr John Pombe Magufuli amehitimisha mzunguko wa Kwanza wa Kampeni yake kwa mikoa 6 ya kanda ya Nyanda za Juu Kusini na Kanda ya Kusini ambayo ni KATAVI, RUKWA, MBEYA, NJOMBE, RUVUMA na MTWARA.

Katika kampeni zake Dr Magufuli amefanya mikutano ya hadhara takribani 49 pamoja na mikutano midogo ya kusalimia wananchi zaidi ya 126 ambapo katika mikutano yote wananchi walijitokeza kwa Maelfu kumsikiliza akiwasilisha Ilani ya CCM ya 2015-2020.

Dr Magufuli ametembea takribani Kilometa 5,900 kwa kutumia gari na maeneo mengine akitembea kwa miguu ili kukutana na Wananchi wa Makundi mbalimbali akinadi sera za CCM.

Tafiti za awali za Mashirika mbalimbali ya nje na ndani ya nchi yalionyesha kuwa CCM itashinda uchaguzi wa mwaka 2015 kwa zaidi ya asilimia 60, lakini baada ya kuanza kwa Kampeni na mgombea kuzunguka akifanya mikutano mikubwa ya hadhara ambayo imekuwa ikirushwa moja kwa moja (live) kupitia vituo mbalimbali vya televisheni, magazeti, redio pamoja na mitandao ya kijamii na kuwafikia watanzania takribani milioni 30, Umaarufu wa CCM na uwezekano wa kushinda umeongezeka kufikia asilimia 85 (tafiti za ndani)

Mambo yaliyopelekea CCM kuongeza umaarufu wake ni pamoja na rekodi nzuri ya uadilifu na uchapakazi aliyonayo mgombea wake, pamoja na uwezo mkubwa wa mgombea (Dr Magufuli) katika kutambua na kutoa suluhu ya matatizo yanayowakabili wananchi wa kada zote na maeneo yote ya Mijini na Vijijini.

Ilani ya CCM na namna mgombea anavyoinadi (Body language) imeongeza imani ya wananchi kwa CCM, mfano Dr Magufuli akisema anaichukia rushwa, mwili, haiba na sura yake vinaonyesha kuwa anamaanisha anachokizungumza. Ilani ya CCM imejikita katika kuleta mabadiliko kwa kuondoa Umasikini na kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hasa kwa Vijana, kuendeleza Vita dhidi ya Rushwa na Ubadhirifu, Kuboresha huduma za jamii na kuendeleza Umoja wa Kitaifa pamoja na kudumisha Ulinzi na usalama.

Wakati Umaarufu na kukubalika kwa CCM kunaongezeka, bado inapata upinzani hafifu ktk kampeni zake. Rekodi zenye mashaka za wagombea wao zinazohusisha kashfa za rushwa, ufisadi, utendaji mbovu na uzembe. Hali tete na migogoro ya ndani ya vyama vya Upinzani ambayo imeshika kasi ktk kipindi hiki hasa kuhusu wagombea kwa nafasi ya Urais na baadhi ya majimbo. Hali ya Afya za wagombea wao ambazo zimewafanya kutoweza kufika katika baadhi ya maeneo waliyopanga kufanya mikutano mfano Ludewa na Tunduru ambapo wananchi walishakusanyika na mgombea akashindwa kutokea. Vyama vya upinzani kukosa Ilani madhubuti na hivyo wananchi kupunguza imani yao kwao.

NB;
Katika moja ya utaratibu bora kabisa wa Chama Cha Mapinduzi ni ule wa kujifanyia tathmini katika kila hatua ya mpango ama jambo lake lolote, utaratibu huu umeiwezesha CCM kubaki kuwa relevant na kuendelea kuaminiwa na kupendwa na watanzania walio wengi.
 
Sina mashaka na magufuli, kazi yake naijua na Kila MTANZANIA anamfahamu, MUADILIFU, mchapakazi mfuatiliaji
 
Kupata kichekesho kingine kama hiki, andika neno VITIMBI tuma kwenda namba 15009.
 
DSC00018.jpg
 
Safii sana kiongozi bora hujipambanua kwa historia ya kazi zake za nyuma na kiongozi ovyo hujipambanua kwa usanii wake ndani ya jamii
heko dr magufuli, watanzania tunaoipenda Tanzania tuko nyuma yako.
 
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015

Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
18.5%1392

Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
79.8%5996

Other
1.7%124

Total Vote7512

Powered by MAYOCOO

- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal

Hizo kura/tafiti za watoto wa Facebook achana nazo ni takataka watu wanamtaka mgombea mwenye uwezo wa kunadi llani, huyu wa kwenu hawezi anaongea dk 5 tu sehemu zote wanachelewa kusudi ili wasingizie muda mmepigwa bao
 
Safii sana kiongozi bora hujipambanua kwa historia ya kazi zake za nyuma na kiongozi ovyo hujipambanua kwa usanii wake ndani ya jamii
heko dr magufuli, watanzania tunaoipenda Tanzania tuko nyuma yako.

Naipenda Tanzania, nampenda Magufuli, siipendi ccm!
 
Anakubalika 85 % chimwaga 60% chamwino 25% Lumumba izo gap zilizobaki ni za lowasa hizo ni za ccm ukija kwa wananchi lowasa ni 92.5% ukijumlisha na za ccm ni 98%
 
ukiwa na mawazo finyu lazima utasema tu hivo ila wenye akili zao timamau wanatambua umuhimu wa ccm na magufuli ndani ya taifa la tanzania hao figo na ini waliokufa ni lowassa na sumaye ambao mmewachukua nyinyi na sisi kubadilisha figo mpya ya magufuli ambayo ni safi sana sasa ccm imebaki imara na inasonga mbele kwa kishindo
​siyo mambo yote vijana wa ccm wanaweza juwa au kungamuwa kwasababu akili zao ni sawa na matope!
 
CC tumeshafanya maamuz kura ni ukawa tu,endeleeni na utafiti wenu mchwara
 
bora ya gar lina spare tyre kuliko ini lisilokuwa na spare ni kufa tu.
ccm ni kifo muda huu

sio kila gari linaspare zingine mpaka utafute kuzipata ni mpaka mtoto wako awe bibi., ningewaona wa maana kama figo mngelitupa na kulifukia ila sio kuliokota alafu mnaenda kumpachikia mtu mwingine! unafkiri ataishi kwa hilo figo??
 
Hongera sana CCM na Hongera Dr Magufuli, Mungu wetu akulinde Mh. Dr. Rais wetu
 
ccm imefeli vibaya ipo icu leo wanasema watashinda kivipi. tumeona kwenye mikutano yao. wanaulizwa rais wenu ni nani wanasema lowasaaaaaa watu hawana mpango na ccm wana mpago wa kula ela zenu mtajua mwaka huu hata mimi nimesha zitafuna sana kula yangu kwa edo
 
Back
Top Bottom